Fact ya leo | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Fact ya leo

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by Wajad, Sep 3, 2012.

 1. W

  Wajad JF-Expert Member

  #1
  Sep 3, 2012
  Joined: Jul 20, 2012
  Messages: 1,123
  Likes Received: 293
  Trophy Points: 180
  Isipokuwa kutokwa na damu tu, kila kitu kinachokutoka mwilini unajisia starehe flan iv. Kutoa mbegu za uzazi, kutoa nyesi, kutoa kojo, kutolewa chunusi, kutoa jasho wakati wa mazoezi, kutoa machozi ya furaha, kutoa denda.
   
 2. Madame B

  Madame B JF-Expert Member

  #2
  Sep 3, 2012
  Joined: Apr 9, 2012
  Messages: 24,128
  Likes Received: 4,994
  Trophy Points: 280
  Lakini ukumbuke kuwa kuna baadhi ya yafanyikayo hapo juu huweza ambatana na damu!!!
  Agh;mkojo,kinyesi,chunusi,
  na hata Masiya alitoa jasho lenye matone ya damu.
   
 3. mtotowamjini

  mtotowamjini JF-Expert Member

  #3
  Sep 3, 2012
  Joined: Apr 23, 2012
  Messages: 4,540
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  kutolewa funza nayo ina raha?
   
 4. charminglady

  charminglady JF-Expert Member

  #4
  Sep 3, 2012
  Joined: Apr 16, 2012
  Messages: 17,856
  Likes Received: 1,131
  Trophy Points: 280
  ama kweli we ni mtoto wa mjini!
   
 5. Watu8

  Watu8 JF-Expert Member

  #5
  Sep 3, 2012
  Joined: Feb 19, 2010
  Messages: 47,325
  Likes Received: 2,625
  Trophy Points: 280
  ushawahi kumuuliza mtu anayetokwa roho anavyojisikia?
   
 6. mtotowamjini

  mtotowamjini JF-Expert Member

  #6
  Sep 3, 2012
  Joined: Apr 23, 2012
  Messages: 4,540
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  :biggrin1: au uongo jamani, umeshawahi kutolewa funza ukasikia maumivu yake? :biggrin1:
   
 7. UncleUber

  UncleUber JF-Expert Member

  #7
  Sep 3, 2012
  Joined: Apr 25, 2011
  Messages: 4,943
  Likes Received: 99
  Trophy Points: 145
  watu8 mkwe umeniacha hoi eti kama ashawahi kumuuliza mtu anayetokwa roho
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 8. Watu8

  Watu8 JF-Expert Member

  #8
  Sep 3, 2012
  Joined: Feb 19, 2010
  Messages: 47,325
  Likes Received: 2,625
  Trophy Points: 280
  hahah inabidi tumuulize vizuri pengine ana experience kutoka na ule mlolongo alioujumuisha
   
 9. dada white

  dada white JF-Expert Member

  #9
  Sep 3, 2012
  Joined: Feb 22, 2012
  Messages: 1,233
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  Ila kuna ka ukweli kwenye hii thread
   
 10. Junior. Cux

  Junior. Cux JF-Expert Member

  #10
  Sep 3, 2012
  Joined: Feb 3, 2011
  Messages: 5,305
  Likes Received: 1,226
  Trophy Points: 280
  eti enh, ata kutoa vile vitu vya per month na kwenyewe ni raha
   
 11. Mphamvu

  Mphamvu JF-Expert Member

  #11
  Sep 3, 2012
  Joined: Jan 28, 2011
  Messages: 10,708
  Likes Received: 933
  Trophy Points: 280
  Post of the day.
   
 12. Kaunga

  Kaunga JF-Expert Member

  #12
  Sep 4, 2012
  Joined: Nov 28, 2010
  Messages: 12,590
  Likes Received: 797
  Trophy Points: 280
  Ndio maana mnaambiwa kinachomtoka mtu ndicho kinachoweza mtia unajisi na si kimuingiacho au?
   
Loading...