Fact [emoji848]

Fact [emoji848]

T_Dangote

Member
Joined
Apr 23, 2019
Posts
23
Reaction score
28
Kuna tofauti kubwa sana ya priorities ya vijana wa mjini (Dar) na wa mikoani.
Vijana wa mikoani, wanaanza na viwanja, mashamba, nyumba, biashara.

Mafanikio ya kijana wa sasa
1.iPhone
2. Macbook
3. Subaru/alteza/vitz/mark-x/IST
4.demu
5. Double room with flat screen and fridge
 
Hata hao wa kijijini wangukuwa Dar priorities zingebadilika. Double rooms ni kawaida Kwa sababu may be zimejengwa na mstaafu anayetegemea kodi aendeshe maisha yake.

Kijana ambae ametoka kwenye familia ya hali ya chini au ya kawaida ni jambo la kawaida kupanga mpaka utakapojaaliwa kujenga. One step at a time.
 
Back
Top Bottom