Pinacoladee
JF-Expert Member
- May 22, 2023
- 859
- 1,126
tafuta scrub nzuri kwanza af kama mweusi go for wixUnapaka serum gani usoni?
Na lotion ama cream nzuri Kwa USO wa mafuta ni ipi
Serum na2mia orbi 20 serum, face cream napak noor herbal beauty cream,mwilini napak lotion yake ya noor herbalUnapaka serum gani usoni?
Na lotion ama cream nzuri Kwa USO wa mafuta ni ipi
[emoji30]yan apo ndo ninapofail,nawez nkanunua nkapak ikiisha najisahau yn ckizingatii sna,ngj ninue tusijaona sunscreen kwenye routine yako babe
kama unafanya hayo yote then haupaki sunscreen unaichosha ngozi, unless lotion unayopaka iwe na SPF kuanzia 50
au 60
Mahiiii 😁😁tafuta scrub nzuri kwanza af kama mweusi go for wix
Malibu is the best. Haiachi weupe[emoji30]yan apo ndo ninapofail,nawez nkanunua nkapak ikiisha najisahau yn ckizingatii sna,ngj ninue tu
Uzi unawafaa wanawake vijana,ila hawa wakwetu ngozi imeshakataa,na ukifata huo utaratibu watoto wanaweza kukuota usiku...Hello,wapenzi wangu kama mnavyojua nyuso zetu zinakumbana na changamoto nyingi,kma chunusi,makovu,weusi kwny macho na mambo mengi kutokana na sababu mbalimbali km hormones,jua,vyakula n.k ambazo zinapelekea kuharibu nyuso zetu..Hivyo basi ili kuweza kuhakikisha nyuso zetu zinabaki kua nzuri za kuvutia tunatakiwa kua na utaratibu wa kuhudumia nyuso zetu wngine wanasema wanafanya facial treatment,wngine wanaenda kweny masaluni yanayotoa huduma izo but kuna wengine wanafanya nyumbani..so let's share together unafanya nn kutibu uso wako?
Binafsi mm nafanya facial treatment mara 2 kwa wiki au mara 1 hasa nikiwa busy sana but most time nafanya mara 2 kwa wk.
1.naosha uso wangu na sabuni au face wash( uso wangu ni wa mafuta hasa mashavuni na kwny paj la uso)
2.Najifusha/facial steaming
3.Nafanya scrub,apa mimi mara nying natumia manjano na liwa na mix na asali,au kuna siku natumia mtind badala ya asali,namix nasugulia usoni then nakaa kwa dk 15 nanawa na maji barid ya kwnye fridge sometimes
4.Baada ya apa naendelea na taratibu nyingine ntafanya massage ya uso then ntapak serum after seconds ntapaka lotion yangu imeisha iyo.
So ebu share nasi jinsi unavyotibu uso wako,tushauriane pia tips kulingana na aina za ngozi zetu.
naiomba babe na hiv meishiwa mafuta😊😊Mahiiii 😁😁
Njoo nikupe hii wix. Nikiipaka inanibadili rangi 😏
jitahid babe[emoji30]yan apo ndo ninapofail,nawez nkanunua nkapak ikiisha najisahau yn ckizingatii sna,ngj ninue tu
How much bby?Malibu is the best. Haiachi weupe
Elf 18 nilipoHow much bby?
Sijawahi kupaka sunscreen....ukipaka inasaidia nini?sijaona sunscreen kwenye routine yako babe
kama unafanya hayo yote then haupaki sunscreen unaichosha ngozi, unless lotion unayopaka iwe na SPF kuanzia 50
au 60
mionzi ya jua babe… inasaidia ngonzi isifubae na juaSijawahi kupaka sunscreen....ukipaka inasaidia nini?