Faces Of Africa - Idi Amin Famous For the Wrong Reasons

Sasa wewe kibogo ,watu aina ya Idi Amini au Magufuli au Adolf Hitler, huwa hatusemi ni FAMOUS, tunasema ni INFAMOUS, come on!
 
Afrika ina bahati mbaya sana kuwa na watawala sampuli hii na bado hawaishi, inaonekana wataisha kwa m'binde sana.

Wanafanya mambo ya hovyo na kibaya zaidi hawataki kabisa kukosolewa, kukemewa au hata kutubu pale inapobidi...!

Mataifa ya Afrika Magharibi yame- improve sana kwa miaka ya hivi karibuni. Tatizo kubwa limebaki huku Mashariki na Kati mwa hili bara, ila with time watabadilika tu kwani dunia ya wastarabu hawatakubali kuendelea kuvumilia udikteta any more.
 
Back
Top Bottom