facebook....

rebeca

Senior Member
Joined
Dec 18, 2011
Posts
190
Reaction score
27
jamani facebook ina matatizo gani au wamehack accounts zangu,embu jaribuni kwenu inapatikana????
 
Angalia sasa, mambo ya fb unaleta Jf!!! Kaulizie kule kule fb!
 
Backy na sredi zako bana

nimeona umenitolea nje mkopo sawa bwana,nimepata mtu ananikopesha,ila next time nikiwa na shida..naku Pm raisi wa wabeba boksi.....halafu mbona mimi nabeba boksi hela siioni??? naumia tu mgongo?lol
 
nimeona umenitolea nje mkopo sawa bwana,nimepata mtu ananikopesha,ila next time nikiwa na shida..naku Pm raisi wa wabeba boksi.....halafu mbona mimi nabeba boksi hela siioni??? naumia tu mgongo?lol

Wasiliana nami nikupe shavu...
 
Wako katika mgomo wa sheria inayotaka kuanzishwa Umarekani. Kama Wikipedia.
 
Wako katika mgomo wa sheria inayotaka kuanzishwa Umarekani. Kama Wikipedia.

sheria gani hio? mbona hawakututaarifu mapema kama watagoma au wewe ulikuwa unajua hili?..mmnh
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…