Facebook yapiga marufuku maudhui kuhusu kundi la Taliban

View attachment 1895771

Uwe unapunguza ujinga unapo kaa na wenzako huko
endelea .... asiyeamini nini ?

(Wingi - Kuffar) maana ya kafiri, ni asiyeamini kinyume na Muislamu, Muumini. "Muislamu" inaelezea kama mtu ambaye anaamini umoja wa Mungu, Utume wa Mtume Muhammad na siku ya malipo.

Mtu anayekataa moja ya kanuni hizi tatu ni Kafir.

Kwa mtazamo wa Waislamu, makafir wamegawanyika katika makundi mawili: Kafir dhimmi na Kafir harbi.

"Kafir dhimmi" ni kafir ambaye anaishi chini ya himaya ya Serikali ya Kiislamu...​
 
Back
Top Bottom