Facebook: Wenzangu huwa mnajifunza nini kule? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Facebook: Wenzangu huwa mnajifunza nini kule?

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by ndyoko, Dec 24, 2011.

 1. ndyoko

  ndyoko JF-Expert Member

  #1
  Dec 24, 2011
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 4,974
  Likes Received: 279
  Trophy Points: 180
  watumiaji wa facebook, naomba mnisaidie la kujifunza kule facebook, maana mwenzenu kila ninapo log in huwa nakutana na picha na vijisalamu salamu vya hi1, babie, sweethaert na picha za kuvutia na kingono ngono tu hasa kwa mabinti 'wabichi wabichi'.

  Huwa natami kukuta labda forum inayoongelea mambo ya 'maana' mf uchumi, elimu nk lakini huwa sioni zaidi ya hivyo vimeseji/post za umependeza, u look glamorous ne mengine.

  Pengine ni ushamba wangu, basi naomba mnielekeze kwa kufungua ili nikutane na 'educative or informative issue' za kibongo na nyingine za ughaibuni. Kwa sababu ya 'ushamba' wangu huu huwa nakaa miezi mingi bila ku log in kule.

  Tafadhali nisaidieni
   
 2. P

  Pure nomaa JF-Expert Member

  #2
  Dec 24, 2011
  Joined: Dec 10, 2011
  Messages: 1,051
  Likes Received: 1,077
  Trophy Points: 280
  Mi nayoijua inaitwa facelook hiyo nyingine sijawai kuisikia
   
 3. HAZOLE

  HAZOLE JF-Expert Member

  #3
  Dec 24, 2011
  Joined: Feb 25, 2011
  Messages: 1,333
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 145
  kule ni watoto tu.
   
 4. ndyoko

  ndyoko JF-Expert Member

  #4
  Dec 24, 2011
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 4,974
  Likes Received: 279
  Trophy Points: 180
  mweeeeeeh! hilo nalo jipya kwangu
   
 5. Perry

  Perry JF-Expert Member

  #5
  Dec 24, 2011
  Joined: Feb 24, 2011
  Messages: 10,029
  Likes Received: 868
  Trophy Points: 280
  Kule ni umalaya kwa kwenda mbele!over
   
 6. Mr Suggestion

  Mr Suggestion JF-Expert Member

  #6
  Dec 24, 2011
  Joined: May 2, 2011
  Messages: 605
  Likes Received: 121
  Trophy Points: 60
  Si muda wote unatakiwa kujifunza mkuu, sometimes kuchati na warembo kunahitajika. sasa wewe unataka muda wote mambo ya CCM, CHADEMA, mara kafulila. pole sana nyie ndio muda wote mnazungumzia mambo ya kazini hata kama mko na wake zenu
   
 7. Ndumbayeye

  Ndumbayeye JF-Expert Member

  #7
  Dec 24, 2011
  Joined: Jan 31, 2009
  Messages: 4,813
  Likes Received: 1,057
  Trophy Points: 280
  uwanja wa matineja wa kujifunzia kutongoza na kutongozwa
   
 8. R

  Richbest Member

  #8
  Dec 24, 2011
  Joined: May 23, 2011
  Messages: 92
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 15
  sa wewe unajidai kuweka izo alama funga semi ili kujitoa kwenye ushamba wakat ni kWELI Mshamba?sio muda wote kujifunza kuna time ya kusocialize kama unaona huna cha kufanya basi ushapitwa na wakati usilazimishe au nenda ka renew urudi ujana!hala jipange mtu mzima wewe!xmas njema !
   
 9. Kibukuasili

  Kibukuasili JF-Expert Member

  #9
  Dec 24, 2011
  Joined: May 15, 2010
  Messages: 858
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  Yaelekea wewe:-
  - ulipitia jkt
  - ulicheza tanu youth league
  - ulipiga kura enzi ya ndio au hapana


  yaani ni mtu mzima. Kule ni kwa watoto na watu wazima ambao "wanaenda na wakati"
  hata mi simo huko
   
 10. deojames

  deojames JF-Expert Member

  #10
  Dec 24, 2011
  Joined: Apr 12, 2011
  Messages: 323
  Likes Received: 50
  Trophy Points: 45
  hamna kitu kule
   
 11. Somoche

  Somoche JF-Expert Member

  #11
  Dec 24, 2011
  Joined: Oct 6, 2010
  Messages: 3,828
  Likes Received: 930
  Trophy Points: 280
  Kule ni ushenzini
   
 12. Somoche

  Somoche JF-Expert Member

  #12
  Dec 24, 2011
  Joined: Oct 6, 2010
  Messages: 3,828
  Likes Received: 930
  Trophy Points: 280
  Kwa jina lingine panaitwa mabondeni..ukienda kule lazima ukumbwe na mafuriko ya mabinti wanaojiuza..
   
 13. K

  KWETU PAZURI Senior Member

  #13
  Dec 25, 2011
  Joined: Oct 14, 2011
  Messages: 161
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  kila kitu kina madhara na faida inategemea na jinsi unavyokitumia,.mtoa mada ana-sugest kuwa zaid ya watu 800mil dunian ambayo ni idadi ya watu wanaotumia facebook ni malaya na hawana akili, facebook yenye thaman ya 80bil dollars haina mana, makampuni makubwa na mbalimbali dunian kwa kujitangaza kupitia fb nao wanatumia makalio kufikiria.
  Be a great thinker and not a narrow thinke like u r now.
   
 14. Jeff

  Jeff JF-Expert Member

  #14
  Dec 25, 2011
  Joined: Sep 26, 2009
  Messages: 1,218
  Likes Received: 39
  Trophy Points: 145
  Kumbee! Mi nahangaika na wa huku Jf bhana, Ngoja niende ku log in sasa hivi
   
 15. Viol

  Viol JF-Expert Member

  #15
  Dec 25, 2011
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 18,982
  Likes Received: 1,088
  Trophy Points: 280
  Watu wengi humu JF ni wanafki wakubwa,mnatumia facebook mkija huku mnaiponda,
  kila mtandao unategemea na matumizi ya wahusika wenyewe,kama kule kuna watoto humu pia
  kuna wanafunzi,Facebook ni popular site na kule ni rahisi kumpata uliyempoteza,
  public figure wapo kibao,watu mnaponda facebook huo ni unafki wakati huwa mpaka mnaleta posts
  za watu maarufu au walichoandika facebook mnaileta humu JF kudiscuss,tuache unafki mwingine usio na mana.
   
 16. Kizimkazimkuu

  Kizimkazimkuu JF-Expert Member

  #16
  Dec 25, 2011
  Joined: Nov 8, 2007
  Messages: 336
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 45
  ....KP umetoa maelezo mazuri sana. Inashangaza watu wanaojitambulisha kama Great thinkers wanashindwa kutofautisha Fb na Jamii forums. Mtoa mada analalamika hajakutana na jukwaa la uchumi FB, anachokutana nacho ni salamu za Hi na icha za kingonono ngono; Mosi, kama mtoa mada hana account FB anaingia kufanya nini? hawandio kundi la watu wanaojifanya kuponda FB wakati kila asubuhi wanaingia na kuandika majina ya watu kwenye sehemu ya search na kuanza kuangalia wameweka picha gani na wana post nini? wanaopost FB wanafanya hivyo kwa rafiki zao au contact list yake...wanaopaswa kulalamika ni hao rafiki zake (kama kua uhalali wa kufanya hivyo).

  Watu wengi hapa JF wanaponda sana JF kitu ambacho binafsi naona ni udhaifu mkubwa wa kufikiri. kama kuna utot, ujinga, umalaya nk ..ni kielelezo cha jamii yetu; tunapaswa kujadili hilo na sio kuibeza FB kwasababu hakuna anayeweza kubisha nguvu ya FB katika nyanja ya mawasiliano (inajidhihirisha na idadi kubwa ya watumiaji duniani, Uimara wa kibiashara, na msururu wa watu maarufu na muhimu duniani, makampuni nk ambao ni watumiaji wa FB). Tazama link hapo chini upate kujua Mark Zuckerberg (Founder wa facebook, yuko namba ngapi katika orodha ya World Most powerful men). Na pia tusisahau hata humu \JF kila siku kuna watu wanapost vitu vya hovyo, kitotot nk...na sidhani kama itakuwa sahihi kuilaumu JF kama tatizo. I stand to be challenged
  The World's Most Powerful People List - Forbes
   
 17. K

  KWETU PAZURI Senior Member

  #17
  Dec 25, 2011
  Joined: Oct 14, 2011
  Messages: 161
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  asante mkuu
   
 18. Mwakalinga Y. R

  Mwakalinga Y. R Tanzanite Member

  #18
  Dec 25, 2011
  Joined: Oct 22, 2008
  Messages: 2,718
  Likes Received: 52
  Trophy Points: 145
  Nakubaliana na wewe 100% .Umeelezea kwa kina so no need ya mimi kuelezea zaidi
   
 19. Raia Fulani

  Raia Fulani JF-Expert Member

  #19
  Dec 25, 2011
  Joined: Mar 12, 2009
  Messages: 10,219
  Likes Received: 84
  Trophy Points: 145
  hata maxence mello ana akaunt fb. Ila mi yangu niliifuta majuzi
   
 20. SONGEA

  SONGEA Senior Member

  #20
  Dec 26, 2011
  Joined: May 29, 2008
  Messages: 102
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0

  Wanaoitumia wanajua wanachojifunza/faidi huko. Kama haikusaidii kitu just leave it for those who benefit from it. Unajua hupati chochote, halafu unaendelea ku-log in kila siku, tafsiri yangu ni kwamba unafurahia kile unachokikuta kule fb
   
Loading...