sio adimu na wala sio kazi kubwa na wala haicost sana. Sema ishu inakuja kwenye chance ya ku success.
Hebu nambie wewe nurbert je utatengeneza nini uwaambie watu waache google?
Sababu search engine inategemea sana na jinsi webmaster watakavyosubmit website zao kwenye search engine yako sasa wao google wana miaka zaidi ya 10 ya webmaster kusbumit database yao ina website nyingi zaidi na hili ndo linafanya kampuni nyingi kukimbia hii biashara.
Facebook wao wajanja maana yao ipo unique wamefanya product differentiation the only secret to defeat monopoly