Chief-Mkwawa
Platinum Member
- May 25, 2011
- 32,073
- 43,520
facebook na wao wameamua kuingia kwenye game la search engine na kuanzisha huduma yao mpya ya kusearch picha, location ,jobs. Naona huu ni mwendelezo wa vita vya facebook na google maana wamekutana wote wawili ni advertisement giant.
Search engine hii wameungana na microsoft (microsoft ana share kama 2% facebook) na kuitengeneza.
Kwa muono wangu itakua nzuri sana na nafkiri itaturusha watanzania na waafrica wengi ambao information zetu hazipo internet. Facebook wamesema wataangalia privacy wataonesha vitu tu unavyotaka wewe mwenyewe vionyeshwe.
Je nini kipya kwenye hii search mpya ya facebook?
wana data zetu toka facebook ilipoanzishwa
kwa kutumia hii search engine utapata data za watu wengi mfano nasearch kuhusu watu wanaopenda kitabu cha alfu lela u lela then kutokana na data za watu walioandika kwenye information zao kuhusu kile kitabu ntawapata wote.
Au mfano mwengine nasearch watu wanaofanya kazi bot then wafanyakazi wote wa bot ntawapata ambao walieka data zao fb.
So hiki kitu ni unique na huwezi kipata search engine yoyote hapa ndo fb wamepiga bao.
very acurate search engine
facebook pia wameifanya search engine yao kua acurate kwa kueka vitu kama muda, location na vitu kama hivyo.
Mfano naweza kusearch picha za mtotosix facebook alizo upload kuanzia january hadi june then nkazipata instant.
wameungana na bing
unapozungumzia search engine ambayo ni nzuri kama google bila shaka ni bing. So facebook wao incase kitu kimekosekana kwenye search engine yao utakua directed kwenda bing.
Je unataka kuitumia????
Kama unataka kuitumia sasa hivi milango ipo wazi kwa watu kuijaribu wanaotakiwa kujaribu ni wale wanaojua kingereza ingia link hapo chini
https://www.facebook.com/about/graphsearch