Dr Matola PhD
JF-Expert Member
- Oct 18, 2010
- 56,826
- 94,087
Metaverse.Naona sehemu nyingi watu wanadhani kwamba facebook.com au app ya facebook itabadili jina, LA HASHA!!
Niwawekee usahihi kwamba facebook ina sehemu mbili, Sehemu ya kwanza ni hii huduma ambayo tumezoea kuitumia kwenye simu zetu, Sehemu ya pili facebook ni kampuni ambayo inamiliki bidhaa ya kwanza niloyoitaja hapo juu tuliyoizoea , instagrama na whatsapp
Kwa hio kitu pekee kitachobadilika ni hilo jina la kampuni (facebook company) na itaitwa Meta Company, mabadiliko haya yatafanyika bila kuathiri majina ya huduma zake kuu tatu ambazo ni facebook, instagram na whatsapp.