Mamserenger
JF-Expert Member
- Oct 14, 2019
- 1,156
- 2,120
Wakuu naomba msaada jinsi ya kufuta meseji zoteee messenger
Iwe kama ndio nime download leo.
Kwakuwa ina meseji taka za yangu 2010.
Lakini sio ile njia ya kufuta kwa moja mojaa.
Au hata kama kuna app mnijuzee
Nawasilisha Kwa msaada.
Iwe kama ndio nime download leo.
Kwakuwa ina meseji taka za yangu 2010.
Lakini sio ile njia ya kufuta kwa moja mojaa.
Au hata kama kuna app mnijuzee
Nawasilisha Kwa msaada.