Facebook kufungwa Machi 15, 2011?

Facebook kufungwa Machi 15, 2011?

M-bongotz

JF-Expert Member
Joined
Jan 7, 2010
Posts
1,736
Reaction score
411
Nimekutana na habari zinazokanganya kwenye mitandao mbalimbali inayosema eti ule mtandao maarufu wa facebook utafungwa rasmi March 15 mwaka huu, wengine wakidiriki kumnukuu mmiliki wa mtandao huo Marc Zuckerberg akielezea juu ya habari hiyo, hebu gonga hapa ujionee, lakini mitandao mingine imeibuka na kukanusha habari hiyo,mfano hebu soma hii.

Anyway sijui tuamini ya nani lakini najaribu kujiuliza ikiwa kweli facebook itafungwa kuna baadhi ya watu watapata shida sana maana wameshakuwa addicted lakini pia ndoa na mahusiano mengi sana vitasalimika maana baadhi ya wakware wanatumia facebook kama kijiwe cha kutafutia viburudisho vyao.
 
OMG, where will i hang out when i have no where to go?? JF maybe! I love facebook................LOL
 
Acha ifungwe tu japo nitapoteza marafiki wengi sana kwani hata hapa JF bado sina rafiki hata mmoja.
 
uDaKu! uDaKu!

facebook.jpg

 
It's a lie, will never happen, that's my place during the whole night
 
Ifungwe isifungwe it wont change anything afterall we have to learn to live without this things someday
 
Dah tutakosa wengine totozi maana kilikuwa ndo kijiwe
 
its a marketing strategy to see how popular it is...uskute anataka uza shares so investor wants to know how popular it is..My take!
 
Facebook Says It’s NOT Shutting Down March 15 [UPDATED]

[UPDATE] We have official confirmation from Facebook Director of Corporate Communications Larry Yu that the rumor is false. We asked him via e-mail if Facebook was shutting down on March 15, to which he responded, “The answer is no, so please help us put an end to this silliness.” He added, “We didn’t get the memo about shutting down and there’s lots to do, so we’ll just keep cranking away like always.”

Source: Mashable

fb-money2.jpg
 
Back
Top Bottom