Hapana wametangaza km vile jf inavyokuwaga na shida,kawaida tuu.. Ndo mana nipo humu now!
kama ni kweli,nina mashaka anonymous hackers group watakuwa washafanya yao ila mark hawezi kusema
ni kweli ilikua Down. Dont know if it was cyber attack or what!