Facebook inataka kuharibu ndoa yangu

Sio jambo la kujisifu ila nimewatafuna sana wake za watu kwa kuwapata huko Facebook, yaani unapochat naye inbox utawasikia wanasema "mume wangu ni mchovu sana kitandani yaani akipiga goli moja tu kwishaa"

Sasa mwambie mie nitakukojoza Mara 3 hadi umesahau huyo mumeo wewe!! Utatumiwa bodaboda ikuwahishe ukamkojoze mke wa mtu πŸ˜€ πŸ˜€

Kiukweli waliopo ktk ndoa (wanaume) wanakwama sana kuwapa mahaba wake zao ndio maana wajuba wa Facebook wanawagegeda kiulaini wake za watu
 
Ulikuwa unaangalia chura huko Fb?
 
Mkuu habari.

Nimesoma uzi wako hadi nikakuonea huruma.

Ipo hivi, kwanza unatakiwa kupata password yake ya fb.

Baada ya hapo unaingia kwenye account yake kupitia simu yako, na ukishaingia mara moja tu basi mchezo utakua umekwisha, maana utakua huna haja tena ya kushika simu yake. Na hapo muda wowote unaingia kwenye account yake kupitia simu yako.

Kikubwa fanya kila namna upate password yake.
 
Shem jeuri wapi nimeproud?Nimetoa tu experience yangu kuhusu facebook na hayo mambo nilishaacha siku hizi baada ya kukua.Ujana ulishanipita kando
Umeona alama ya swali au umejibu tu?
 
Hii mbona easy kama Pop Corn.

NB: Demu wangu wa kwanza nilimpata huko na akaja kunifanya kitu hamna. Ilikuwa fundisho kwangu na kwa kizazi changu. Na account niliifuta [emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji28][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Wacha wa humu wakuvimbishe bichwa uje uone cha mtema kuni.

Huyo mshamba wako utammiss,,,

Unakosa akili ya kupambana nae?

Sitisha vocha, akitoka upo nae mfanye vizuri asubuhi na usiku.


Usikute na we nae dk 5 upo hoi balaaaa kaamua atafte vijana wa fb.
 
Mwanamke akishindwa kumtii Mume wake, ni halali kumwacha Haraka, kwani hakuna future hapo ni ugomvi kila siku, na usiwekeze moyo wako na mali zako kwa mwanamke, hakikisha unaweza kuishi bila yeye na hata akiondoka usipate uchungu wa mali ulizowekeza kwake.
 
Lengo lako ni lipi hasa?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nataka nihakikishe kama kweli huyo mwanamke alimwambia mtu aende inbox akampe namba mana hapa tumesikiliza upande mmoja tu[emoji3][emoji3][emoji3]
 
Watu wengi ambao sio wasomi hutumia namba za simu sio email kufungua akaunti ya Facebook. Kwahiyo ni rahisi Sana kumsearch
 
Hii mbona easy kama Pop Corn.

NB: Demu wangu wa kwanza nilimpata huko na akaja kunifanya kitu hamna. Ilikuwa fundisho kwangu na kwa kizazi changu. Na account niliifuta πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Tupe ushuhuda mkuu tujifunze pia,

Alikutenda Mbaya nini?!
 
Mkuu tuseme ukiweza kuifunga Facebook page yake, huku mtaani nako utakuwa naye muda wote?
 
Huko unaenda mbali mwambie akupe simu na password yake ya password
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…