Behind the camera
JF-Expert Member
- Jan 12, 2019
- 315
- 757
HaswaaaaNgoja wajuvi waje kukupa mwongozo, ndio maana ndio za wazee na babu zetu zilidumu sana aya mambo madogo hayakuwapo
And yo proud?Naomba nikiri hapa kuwa mimi ni domo zege na mwanamke wangu wa kwanza,wa pili,wa tatu na wa nne ni wake za watu ambao niliwapata kupitia facebook.Uzuri wa facebook ni kwamba unamtongoza mtu bila kuonana nae uso kwa uso kwa hiyo hakuna mambo ya kuona aibu na mnakubaliana kabisa hadi lodge ya kwenda kula tunda.
Na mkifika lodge huwa hakuna mambo mengi,ni kuvuana tu kwa sababu tayari mlishalegezana kwenye mtandao huko.This is my confession
Shem jeuri wapi nimeproud?Nimetoa tu experience yangu kuhusu facebook na hayo mambo nilishaacha siku hizi baada ya kukua.Ujana ulishanipita kandoAnd yo proud?
hii ndo njia rahisi kama kweli keshafanya maamzi ya kuachana naeSi uchukue simu yake umwambie afungue message uone
Hii mbona easy kama Pop Corn.Naomba nikiri hapa kuwa mimi ni domo zege na mwanamke wangu wa kwanza,wa pili,wa tatu na wa nne ni wake za watu ambao niliwapata kupitia facebook.Uzuri wa facebook ni kwamba unamtongoza mtu bila kuonana nae uso kwa uso kwa hiyo hakuna mambo ya kuona aibu na mnakubaliana kabisa hadi lodge ya kwenda kula tunda.
Na mkifika lodge huwa hakuna mambo mengi,ni kuvuana tu kwa sababu tayari mlishalegezana kwenye mtandao huko.This is my confession
Tayari mkuuUmeshajiandaa kumuacha kwa maana ya kuivunja ndoa yenu?
Hapo si ndo itakuwa ninepata tiketi ya kumuacha... Maana nishajiandaaBy the time unadukua unakuta shukran nyingi Kwa game aliopewa..
Kumbe ungeweza mbana pengine ukazuia asiende kupigwa nao
[emoji1][emoji1][emoji1]Afu kuna jamaa angu majuzi ananiambia oya ona kuna mke wa mtu kajaa anasubiri kukatwa kichwa
NikweliKuingia tu fb bila ruhusa yako mbona ni sababu tosha mkuu