Facebook imeniliza

Washawasha

JF-Expert Member
Joined
Aug 7, 2006
Posts
16,974
Reaction score
13,430
wakuu hii site nilikuwa siifuatilii kihivyo,leo nikaamua ngoja niingie nikajionee kunani huko facebook,huwezi amini nimekutana na ma school mate wangu kibaooo ambao nimepoteana nao kwa zaidi ya kiaka 20 sasa,aisee nimefarijika sana na kujiona kama vile niko nyumbani na kuanza kutoka na machozi. Nawashauri wale ambao mmepoteana kwa muda mrefu mnaweza mkapatana kule. ila JF😛oa ndio mwisho wa matatizo kwasababu hatuonani tunapakana tu.TANZANIA KWANZA.Nalog off
 
Aaah kumbe ndo wewe mwana? Nilikuwa nafananisha mwandiko wako sikuzote, kama uleeeeh wa primary mpaka mwalimu akawa anakuchapa kisa mbaya.
 
Aaah kumbe ndo wewe mwana? Nilikuwa nafananisha mwandiko wako sikuzote, kama uleeeeh wa primary mpaka mwalimu akawa anakuchapa kisa mbaya.
ni kweli sijabadilisha mwandiko wangu ndio ule ule?Nalog off
 
Situmii mimi hiyo fesibuku.
yaani mie toka nimezaliwa ndio nimeingia leo,nakuktana na hiyo furaha ya marafiki zangu hawa,ila kama unaonana nao kila siku basi hakuna maana ila kama uko mbali nao nakushauri uende ili nawe ufurahi kama nilivyofurahi mimi leo.Nalog off
 
Huishi vioja,bora wewe imekuliza kilio cha furaha mwenzako nimesaga meno kwa huzuni hyo fb hata hamu sina
 
pole kwa kuanza kula dawa mpya ya kulevya ya face book...hii kitu ikikukolea huachi kila siku un log on...
 
mambo vq kamanda mimi mwenyewe tulisoma wote vidudu unatumiaga jina gani kule?
 
Wewe unafurahia kukutana na marafiki!. We kweli unahitaji maombi.
 
fesibuku kama gugo!!kilakitu wanajua!!ila utakapo mkuta my waifu wako yupo in relationship na jamaa sijui utacheka?? nalog in
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…