King_Villa
JF-Expert Member
- Feb 6, 2012
- 575
- 380
wakuu kuna jamaa hapa amefunga mtandao wa facebook hapa kambini eti kwa kigezo wanafunzi wasifungue website hiyo,,lakini website zingine zote zipo flesh sasa mi nataka niingie kidogo ....hakuna ujanja wa kufungua hapo ...heshima kwenu wakuu....:confused2::confused2::confused2: