Facebook hatarini kuvunja ndoa

Facebook hatarini kuvunja ndoa

Wanawake wengi walioolewa wanaupload fb picha ambazo wamekumbatiwa na waume zao. Tena hao wanaume wanakuwa wametumbua jicho sawasawa kwa mpiga picha. Mwanaume ukitaka kukoment unaona kama huyo mume anakuona...

Hahahaaaaaa
 
poleni sana kwa yaliyowakuta fb na hongereni kwa kujitoa wote, na ninaamini hakuna mwenye wasiwasi na mwenzie sasa, ila mimi tatizo langu ni kwa huyo mume ambaye yeye anaendelea kula maisha ya fb haoni kwamba anamuumiza mwenzie ki hisia na lazima atakuwa na mawazo tele kama; kwa nini mwenzie amebaki humo na ni watu wa namna gani ana chart nao? Ila kwasababu mwanamke hana power kwa mume inambidi atulie tu bt moyoni anaumia

Hapo sasa kama mume hajatoka inakuwa ubabe na ukweli ni kwamba lazima atakuwa anafanya vitu vya upuzi. Kama basi angependa kuendelea kuwepo, hiyo profile iwe shared na mkewe pia.

Amini nakwambia kwenye ndoa kama kuna kuficha ficha vitu amani hutoweka na pia iko siku mambo yatabumburuka tu
 
Hivi ntie facebook mnafanyiaga nn?? Mie haijawahi kuwa source ya matatizo kwangu!! Simjui mtu sia accept request , kanitag ujinga na mblock. Marafiki wachache wenye akili zao!! Bhaasii
ukiona ndoa yasumbuliwa na facebook kuna la ziada halijasemwa. Ni hayo tuuu
 
Labda kila anapojitahidi kupendeza mume hamsifii ndiyo maana kajaribu kuipost picha kwenye fb midume imemkubali.na kama ingetokea mumewe akaziona hizo picha na asiseme chochote, huyo mwanamke angejisikiaje? angeona jamaa hampendi.Wivu ni sehemu ya upendo na tunatofautiana viwango vya wivu ila mpaka kufukuzana kwenye facebook, maana yake unahisi kama umekaribia kuibiwa.
mwanamke wee una akili
 
Hivi hiyo FB si ina restrictions na privacy...ni kiasi cha kufanya customization tu za aina ya marafiki na vitu kama hivyo!!
 
kuna mijitu inamisuse fb hadi basi!

Moja wapo ikiwa ni kuwa na marafiki 5000 wasiokuwa manageable!! Nyingine ni kuwa na marafiki wasiokuwa na connection kutoka kazini, vyuoni, ndugu, jamaa, mitaani nk ambao hawafahamiani. Kundi la pili ni rahisi kuweka comment itakayomuudhi mke/mume!! Kama mtu kuomba namba ya simu, kutaka kukutana nk.

Matumizi mabaya ya kitu chochote, hata kizuri (kama dawa) huleta madhara!!
 
Hivi ntie facebook mnafanyiaga nn?? Mie haijawahi kuwa source ya matatizo kwangu!! Simjui mtu sia accept request , kanitag ujinga na mblock. Marafiki wachache wenye akili zao!! Bhaasii
ukiona ndoa yasumbuliwa na facebook kuna la ziada halijasemwa. Ni hayo tuuu

That's the way to go!!! Hivi kweli, mtu ana friends 5000 anategemea nini?? Huenda maishani tumewahi kukutana na idadi hiyo ya binadamu lakini hatuwezi kuwa na urafiki na kiasi kikubwa hicho cha watu!!
 
Back
Top Bottom