Facebook bwana!

Tumefika mahali ambapo, kufikiria baada ya kutenda ni sifa
 
Pengine ukitype Amen kuna muujiza utatokea.
 
Ah hahahaa mmi ndo mana sikuwahi na wala sitakuja jiunga facebook,
Mana mtu analeta habari za msiba afu watu chini wanalike
 
Mie binafsi huwa nashindwa kweli kuelewa unapata mtu kaweka picha ya mtu either ni kilema or ana matatizo fulani/yuko kwenye shida flani halafu anakukomand "kama una moyo wa huruma -like na type amen- kisha share sijui watu huwa wanafulahia wenzao wawe kwenye hali hiyo au huwa hawajui nini maana ya neni "like na amen/amina"
 
Tumefika mahali ambapo, kufikiria baada ya kutenda ni sifa
Kwani hujawah kuona watu wananunua wanajenga nyumba kupitia misiba ya marafiki zao, jamaa au ndugu? pengine aliye post huko fb anataka kupata like nyingi! Binadam hatuna utu sa hivi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…