Facebook account yangu ina msululu wa friend request za makahaba.

Dr Matola PhD

Platinum Member
Joined
Oct 18, 2010
Posts
62,319
Reaction score
111,488
Wakuu hebu mwenye kufahamu anifahamishe, sijui account ya Facebook imekumbwa na jinamizi gani nilizoea kupokea friend request za watu intelectual lakini kwa siku za karibuni hali imebadirika, ninapokea request nyingi za warembo na nikiwascreen vizuri nagunduwa 90% ni wauza kummer tu.

Sasa nimeingiwa na madhaka hizi facebook account in future zinaweza hata kukuharibia maisha na kujulikana wewe ni mtu wa namna gani, sasa nimekuja jukwaa hili la watalaam ili kushare experince na kujuzana chimbuko la tatizo hili ni nini? Au wale friendlust wangu wengi wapo kwenye friendlist za hawa warembo wauza uchi? Ndio sababu na mimi napata request mfululizo za warembo hawa ambao wanauza uchi kwa style ya kisasa bila kujipanga barabarani?

Nimewaza mbali sana nimeona friend list yangu sasa inaelemewa na warembo na mimi ni marriage Man hii si ni shida?

Nawasilisha.
 
Nionyeshe rafiki zako nitakuambia wewe ni nani,"Show me your friends and I'll tell who you are"
Mwizi haoi sharti mwizi mwenzie,
Kahaba hukaa na makahaba,
...Kaka wewe ni mumuzi wa kummer ndiyo maana unafuatwa na makummerzan bila umsolopagaz.
Hili siyo jukwaa la jokes brother, respect come first, sijapost hii thread huku kimakosa, mimi siyo teeneger mwenzako am warning you.
 
Mkuu huyu bwana mdogo alikuwa na points ila njia aliyotumia kuzifikisha ndo imekuwa siyo ya kistaarabu,hilo tatizo limeanzia ktk hao hao marafiki zako mnaoheshimiana,iko hivi;

Mimi nikiwa rafiki yako Facebook kisha tena nikawa na urafiki na Hamida wa Kimboka,yeye Hamida kwenye profile yake kuna kile kipengele cha “people you may know" atakuona wewe ambapo akiifungua profile yako ataweza kuona una urafiki na watu gani anaowajua yeye nikiwemo mimi {mutual friends} sasa itakuwa ni uamuzi wake atume friend request au asitume,pia marafiki zake watakuwa wanakuona wewe pale tu unapomkubali Hamida kuwa rafiki yako ambapo nao watafanya the same kama Hamida so utajinasuaje?;

Kama unakumbukumbu ya ulimkubali nani awe rafiki yako ndo hili tatizo likaanza m-search ktk marafiki zako kisha fungua profile yake mu-unfriend,hata kabla ya kumtoa ukitafuta mlolongo wa huyu unayemkataa alikoanzia utajua wengi wa marafiki zake ni wale wote wanaokukwaza,kama hukumbuki basi hao hao uliowa-accept ukakuta ni watu wasiokufaa fungua profile zao angalia anajuana na marafiki zako wangapi kisha hao marafiki zako wa-unfriend pamoja na yeye,ktk hii case lazima kuna mmoja wa rafiki zako anahusika na hilo kundi.

Iliwahi kunitokea kila nikifungua app ya Facebook basi hapo kwenye kioo zinapita friend suggest/request za was*ng3 tupu wengine wamebinua makalio wengine wananyonya vidole alimradi vurugu nikatumia njia hii kuangalia wanatokana nanani?alikuwa pimbi mmoja nilipomtoa ktk kundi la marafiki ujinga ule ukaisha.

Note:usiwa-unfollow hivi utakuwa umenitoa tu mimi ila vitu vingine vyote kutoka kwenye kundi langu utakuwa unavipata wa-unfriend.hope nitakuwa nimesaidia kidogo wengine watajazia nyama nilikosahau.
 
Hiki ndicho nilichokuwa nakitafuta, na hii ndio JF niliyokuwa naifahamu kabla haijavamiwa na utitiri wa watoto.

Nskushukuru mkuu, hili zoezi nadhani nitalifanya kwa umakini kwenye desktop kuliko kwenye simu.

Ubarikiwe.
 
Mkuu JF imevamiwa sikuhizi, Mtu unaweza kua serious na kitu fulani ila unapokiwakilisha JF kupata ufumbuzi kuna wajinga wanakuja kukuharibia,

Kila mda wapo kiutani utani tuu!!!
 
Tutaanza kukaguwa tigo zao, madhoga wengi sana sasa hivi na hapa JF wapo kibao.
 
Labda ww ni mteja wao, mara nyingi unapokuwa na namba ya simu ya mtu kwenye simu yako halafu labda mtu huyo kaitumia namba hiyo kufungulia fb akaunt bs ni rahisi kumuona mtu huyo kwenye kipengele cha <people you may know>, au labda unasifika kwa kuhonga na wao wanataka hongo zako, au una kiba100, si unajua kuvuja kwa pakacha nafuu ya mchukuzi, malaya wengi wanapenda wateja ambao hawatumii muda mrefu kufika kileleni, hivyo ukijitathmini kati ya hayo niliyoyataja basi utajua chanzo cha yote hayo ni nini
 
Back
Top Bottom