Face to face na X wangu

Hivi wachina hawajafanikiwa kututengenezea dawa za kukontrol wivu? ingesaidia ndoa nyingi sana
 
Huyo mkeo vipi?? Inaonekana hajiamini kabisa kama unampenda>>
 
huyo mama ana matatizo upendo wote huo bado yuko insecure, she behaves like a baby. Just let her know whats the purpose of ur marriage kama haelewi sasa ana tatizo lake binafsi, na watu kama hao hatari she may be insecure hadi naye alipize kisasi kutoka out kumbe wewe walaaa umetulia zako. Sometimes women unawabembeleza hawabembelezeki, ndio maana wanadanganywa sana. ukimwambia ukweli analia bora umwache alie akimaliza siku ziende.
 
pole sana magulumangu, inaelekea huduma zote uzitoazo
kwa wife haziko natural au umezizidisha sana kiasi wife
anashindwa kuziamini (kuna kalae kamsemo "it is too good to be true"),
hivyo unaonekana unamchezea sinema mkeo. hii ndio sababu ya yeye
kulia wivu na kutojiamini.

kakangu wanawake tunapenda kupendwa na kuambiwa mambo mazuri all the time and most important ni kuwa assured that hatuibiwi nje,so as u said ur a good husband please ongeza MALOVE AND ATTENTION thats it.mi nahisi kuna body language uliionyesha wakati unaongea na huyo kicheche wako wa zamani lakini,kwakua umetuhakikishia uko poa,just concentrate with faithfulness to ur wife and msiliongelee kitu chochote kuhusu huyo ex wako na hata akianzisha mwambie hutaki kuongelea,wivu ni ugonjwa ndugu yangu hayo yote nia mapenzi tu yamemjaa mkeo.usiache kumpenda mkeo!,ghafla nimetamani wewe unaymfanyia mkeo ndo yangekua yanafanywa na blackberry wangu.lucky her

Thank u kwa ushauri dada angu....sijisifii lakini am sure she is jealous because of what i have been doing to her and she thinks i did more than what am doing now to the ex....Naamini hata mungu anaiona hii, kama ni samahani she told me am the king of asking for forgiveness, kama ni upole amenihakikishia kuwa kamwe hata mdogo wake ataolewa na either ndugu yangu au yeyote kutoka kabila langu, kama ni gentleman i always at her back, Open the car door for her, I was the first man to make tea and bring for her in bed, I was the first to cook lunch for her, though sina proof lakini I can believe through her eyes, she always feel comfortable when she is relaxing on her place, I mean ma chest, she found her new place in ma heart, nimeponyesha madonda katika moyo wake na kurudisha imani kwake kuwa kweli mapenzi yapo na yatakuwepo kama kweli ukikutana na mwanaume who knows what means love na sio kitandani tuuuu, Sina wivu kwake hata kidogo, sitakuwa na wivu maana najua what she is getting is more than a man can give to a woman...

Nice weekend.
 
Hivi wachina hawajafanikiwa kututengenezea dawa za kukontrol wivu? ingesaidia ndoa nyingi sana

Dawa ya wivu ni wewe mwenyewe ndugu yangu, tena sisi wananume ndo tuna wivu kuliko wanawake usiombe.....Jaribu kutumia dawa ya kuondoa wivu utaona kiama chake kama sio kinyume cha wivu ambapo ni kuchukiwa mpaka na nzi mzee wangu biliv me....
 
acha uzushi wewe, si unasema unatafuta mzungu akuzalishe, au ndio mmekubaliana na mume wako

ina maana hana maex ila anao kibao hahahahahahahha mkuu kweli JF great thinkers hahahaha....Kwa hiyo ushauri wake batili au sio?
 
huyo mama ana matatizo upendo wote huo bado yuko insecure, she behaves like a baby. Just let her know whats the purpose of ur marriage kama haelewi sasa ana tatizo lake binafsi, na watu kama hao hatari she may be insecure hadi naye alipize kisasi kutoka out kumbe wewe walaaa umetulia zako. Sometimes women unawabembeleza hawabembelezeki, ndio maana wanadanganywa sana. ukimwambia ukweli analia bora umwache alie akimaliza siku ziende.

Mkuu sorry lakini kwa hapa kidogo siko na wewe, UMPENDAE daima inabidi uwe nae hata kama kakukosea ndo maana kuna kitu kinaitwa msamaha, Siwezi mwacha mke wangu alie eti akimaliza ataacha siku ziende, mzee hujui hapo tayari katika 100% ya mapenzi ni kosa kubwa sana na kuliziba nadhani ni ngumu sana mzee wangu, unaempenda kamwe hutokubali kuona analia na ukaondoka NA UHAKIKA MOYONI hutokuwa salama na uendako, definitely utafeel something missing in your body mzee wangu, ndo maana wazungu wakaita SOUL MATE sio neno tu hilo ila ujumbe ndani ya neno...Wengi wetu tunajua tu mapenzi ni kitandani kitu ambacho mwanamke anaweza kukupa kama SEX na sio LOVE making ambavyo ni vitu viwili tofauti....when she gives you like sex is to satisfy you and not with her desire mind that.....
 
pole sana magulumangu, inaelekea huduma zote uzitoazo
kwa wife haziko natural au umezizidisha sana kiasi wife
anashindwa kuziamini (kuna kalae kamsemo "it is too good to be true"),
hivyo unaonekana unamchezea sinema mkeo. hii ndio sababu ya yeye
kulia wivu na kutojiamini.

Hivi kweli eeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeehhhhhhhhhh hapa yaweza kuwa anahisi mie ni PLAYER au sio maana all PLAYERS knows to love...itabidi manjonjo yapungue eti eeeeeeeeeeeeeeeeehhhhhhhhhh hapa kweli mathinkers wapo....
 
Akikuuliza kuhusu ex wako alikuwa anakufanyia nini in bed we mwambie kwani mapenzi ni kuwekana wazi katika hayo,mweke wazi ili upate raha ulozokuwa ukizipata awali..
 
Mwambie ajiamini ni yeye pekee chaguo la moyo wako magulumangu,Pia Matendo yako ndio yatamuonyesha wife
Ilanimesoma katikati ya maandishi yako kitu fulani kinaniashilia ukipata mwanya unaweza kubanjua amri ya mungu na X-wako..
 
Leo katika piata pita zangu nikiwa na mamaaa(mama kubwa) nikagongana na Ex wangu, nikasalimiana nae vizuri tu huku akitabasamu mpaka mamaa akashtuka na kutaka kuondoka akizani ni Nyumba ndogo, nikamtambulisha kuwa yule nilyenaye ni mke wangu na tuna mtoto mmoja, kasheshe ilianza mara baada ya kurudi nyumbani maana nilishagamwambia tangu niachane na ex wangu sijapata kumwona tena na sijui aliko, sasa mke wangu hajiamini kwa sasa akidhani mie nitaanza contact na yule ex wangu ingawa nimemwambia hilo kwangu halipo na wala asiwaze, jamani bibie hajiamini kwa sasa kila kitu anataja jina la ex wangu, kanitega swali moja, je alikuwa anakufanyia nini x wako wakati wa mechi? jamani niko stranded hapa msaada, na mjue huyo ex yuko fiti kila kona ila tabia yake kwangu haikunifurahisha so tukaachana kwa amani tuuu na sio ugomvi, bibie kauliza mliachana vipi? nani alimwacha mwenzake?haamini kweli tuliachana kwa amani, jamani kwa nini wanawake hawajiamini? nampenda mke wangu na hata number ya yule ex sina ila aliniambia anapofanya kazi kama na muda nimtembeleee....

Msaada jamani, preta, first lady na wengineo, wazee wa jukwaa la mapenzi mpoooooooooo....ndoa yangu jamani ni ya gharama sana maana ni mungu tu ndo anaweza tutenganisha kama kiapo chetu...
Red: Ukiulizwa swali kama hili usije ukajibu kama kuonesha kuwa bado una kumbukumbu na hivyo vitu, unless for "undesirables", So, mjibu hata sikumbuki kama kuna chochote cha maana hata kidogo....
Blue: Elewa mkuu kuwa kamwe kambi ya mapenzi haivunjwi kwa amani na ikavunjika.... Hata ikiwepo ugomvi usiwe umesuluhishwa.... Hivyo, kauli yako kuwa mliachana kwa amani ndio inazidi kumpa mkeo wasiwasi.... Please, angalia tena hapo....
 
Mi naona huyo mke kinachomsumbua zaidi ni WIVU, tena naona unakuwa GUBU sasa ambayo sio nzuri kabisa

Mkuu mweleze kuwa anavyo behave hata wewe inakukwaza sasa, ajiamini kwamba upo naye tu huna mwengine!

hv zaidi ya gubu tutaiitaje? hii ni zaidi ya gubu.....sasa hapo amesalimiana tu ni kasheshe hivi je yangemkuta ya kumkuta? halafu analia nn sasa?...kuna watu wanapenda kufanya maisha yaonekane magumu kivileeee.....
 
Leo katika piata pita zangu nikiwa na mamaaa(mama kubwa) nikagongana na Ex wangu, nikasalimiana nae vizuri tu huku akitabasamu mpaka mamaa akashtuka na kutaka kuondoka akizani ni Nyumba ndogo, nikamtambulisha kuwa yule nilyenaye ni mke wangu na tuna mtoto mmoja, kasheshe ilianza mara baada ya kurudi nyumbani maana nilishagamwambia tangu niachane na ex wangu sijapata kumwona tena na sijui aliko, sasa mke wangu hajiamini kwa sasa akidhani mie nitaanza contact na yule ex wangu ingawa nimemwambia hilo kwangu halipo na wala asiwaze, jamani bibie hajiamini kwa sasa kila kitu anataja jina la ex wangu, kanitega swali moja, je alikuwa anakufanyia nini x wako wakati wa mechi? jamani niko stranded hapa msaada, na mjue huyo ex yuko fiti kila kona ila tabia yake kwangu haikunifurahisha so tukaachana kwa amani tuuu na sio ugomvi, bibie kauliza mliachana vipi? nani alimwacha mwenzake?haamini kweli tuliachana kwa amani, jamani kwa nini wanawake hawajiamini? nampenda mke wangu na hata number ya yule ex sina ila aliniambia anapofanya kazi kama na muda nimtembeleee....

Msaada jamani, preta, first lady na wengineo, wazee wa jukwaa la mapenzi mpoooooooooo....ndoa yangu jamani ni ya gharama sana maana ni mungu tu ndo anaweza tutenganisha kama kiapo chetu...

hapo kwenye bold-red, is the making of atomic bomb kwenye ndoa yako. DON'T!!
 
iyo ndoa ina miaka mingapi jamani huyu mama jamaa haishi naye maisha halisi lazima kuna drama nyingi kwenye ndoa yao kusalimiana na mtu tu maswali mpaka kulia basi atafute kijiji watachoishi wao wawili tu ili moyo wake utulie tena ashukuru jamaa kamueleza ina maana anampenda na ni mkweli kwake mwingine angekuambia huyu tulisoma nae chuo na kumkandia juu kumbe mzigo wake
 
Nampa pole sana bi mkubwa maana inavyoonyesha, hakuna cha kukuzuia kuwa karibu na x wako, na kama mlishaweka maagano wakati wa urafiki wenu, kama watu wengi wanavyofanya wakati wa mahusiano basi ujue utakuwa na bi mkubwa lakini fikra zitakuwa kwa x wako, ukizingatia hamkuachana kwa viapo!!!!!!
 
Back
Top Bottom