Face to face na X wangu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Face to face na X wangu

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Magulumangu, Dec 4, 2010.

 1. Magulumangu

  Magulumangu JF-Expert Member

  #1
  Dec 4, 2010
  Joined: Jan 7, 2010
  Messages: 3,040
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Leo katika piata pita zangu nikiwa na mamaaa(mama kubwa) nikagongana na Ex wangu, nikasalimiana nae vizuri tu huku akitabasamu mpaka mamaa akashtuka na kutaka kuondoka akizani ni Nyumba ndogo, nikamtambulisha kuwa yule nilyenaye ni mke wangu na tuna mtoto mmoja, kasheshe ilianza mara baada ya kurudi nyumbani maana nilishagamwambia tangu niachane na ex wangu sijapata kumwona tena na sijui aliko, sasa mke wangu hajiamini kwa sasa akidhani mie nitaanza contact na yule ex wangu ingawa nimemwambia hilo kwangu halipo na wala asiwaze, jamani bibie hajiamini kwa sasa kila kitu anataja jina la ex wangu, kanitega swali moja, je alikuwa anakufanyia nini x wako wakati wa mechi? jamani niko stranded hapa msaada, na mjue huyo ex yuko fiti kila kona ila tabia yake kwangu haikunifurahisha so tukaachana kwa amani tuuu na sio ugomvi, bibie kauliza mliachana vipi? nani alimwacha mwenzake?haamini kweli tuliachana kwa amani, jamani kwa nini wanawake hawajiamini? nampenda mke wangu na hata number ya yule ex sina ila aliniambia anapofanya kazi kama na muda nimtembeleee....

  Msaada jamani, preta, first lady na wengineo, wazee wa jukwaa la mapenzi mpoooooooooo....ndoa yangu jamani ni ya gharama sana maana ni mungu tu ndo anaweza tutenganisha kama kiapo chetu...
   
 2. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #2
  Dec 4, 2010
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,113
  Likes Received: 3,035
  Trophy Points: 280
  mmmh.....hapo ninahisi huyo ex ni mkali zaidi....wanawake tuko hivyo...ukiona mwenzio kakufunika amani hutoweka....mpe muda atasahau ila kwa sasa onyesha mapenzi ya dhati ili uweze kuziba jeraha lililopo moyoni....huwa inauma kimtindo but itaisha
  ONYO: usifanye mazoea na huyo ex....
   
 3. Magulumangu

  Magulumangu JF-Expert Member

  #3
  Dec 4, 2010
  Joined: Jan 7, 2010
  Messages: 3,040
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Naona hata hapa ndani amani inaisha jamani, mie nampenda sana mke wangu hata yeye anajua hilo, sina mazoea kukutana na wanawake na kama nakutana am with her always, hata nikikutana na rafiki zangu most of times she knows, i explained to her about this ex before she saw her, now is different situation and worse, jamani mapenzi kikohozi jamani.....Huyo ex she kinda player, she mix men like Dj mixing musics....she dates married most than unmarried and she knows this....

  Leo amelia sana mke wangu mpaka nikamhurumia na sijui ni kwa nini, nimemtoa out lkn haikuwork, dada ake akimuuliza tatizo nini hasemi chochote...
   
 4. M

  Mokoyo JF-Expert Member

  #4
  Dec 4, 2010
  Joined: Mar 2, 2010
  Messages: 14,819
  Likes Received: 1,978
  Trophy Points: 280
  pole ndugu yangu, jitahidi kuilinda ndoa yako
   
 5. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #5
  Dec 4, 2010
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Kama Ex analipa sana mamaa lazima apate presha kidogo!!Hata ukimwambia huyo Exie alikua na tabia mbaya hawezi kuamini maana anadhani unajaribu tu kumtuliza!Unachotakiwa kufanya nikumweleza kwanini uko na yeye na sio kwanini hauko na Exie.....Mbembeleze kwa maneno matamu na sifa kibao kwa vyote unavyovipenda kwake hata vile vinavyoonekana havina maana sana!!
   
 6. Z

  ZeMarcopolo JF-Expert Member

  #6
  Dec 4, 2010
  Joined: May 11, 2008
  Messages: 13,589
  Likes Received: 480
  Trophy Points: 180
  duh, noma hii. hapo inabidi uwe mpole tu.
   
 7. Questt

  Questt JF-Expert Member

  #7
  Dec 4, 2010
  Joined: Oct 8, 2009
  Messages: 3,013
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Kitu cha Msingi ni wewe mwenyewe kujijua unataka nini in ur life....na mkeo anataka nini......ukishayajua haya then utakaa kwa amani na mkeo. Cha msingi usifanye chochote ambacho ni abit suspicious ( mf. Simu kuishiwa Charge ukawa Unreachable anaweza hisi unafanya dhambi na ex wako) ...koz mkeo anaweza asikuambie kuwa kuna kitu kahisi then nse akaanza kufanya kwa siri n trust me man kuna watu wanammendea mkeo daily so ur mistake/s intentionally or unintentionally jamaa watammega huku akijipa moyo mbona nawe unamega.....wakati wala ndg yangu upo faithful kwa sana kwake...........Try to spend most of ur free time with her...keep doin what she want and stop doing what she doesn't want.......
   
 8. Baba_Enock

  Baba_Enock JF-Expert Member

  #8
  Dec 4, 2010
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 6,802
  Likes Received: 164
  Trophy Points: 160
  Uhawala hauwezi kuisha!

  As long as hauna mawasiliano na huyo X ndoa yako itasimama imara, BUT, ukanzisha mawasiliano naye NDOA yako will be in trouble Therefore it all depends on you!
   
 9. kipipili

  kipipili JF-Expert Member

  #9
  Dec 4, 2010
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 1,499
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145
  sasa hapo kinachomliza ni nini asee
   
 10. Magulumangu

  Magulumangu JF-Expert Member

  #10
  Dec 4, 2010
  Joined: Jan 7, 2010
  Messages: 3,040
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Kama ni sifa sidhani kama ipo ambayo mwanaume anastahili kuitoa kwa mke au mwenza wake sijaitoa, kama ni surprise ameshasema kwa nini sikukutana nae kabla ya wengine, kama ni mapenzi kwa ujumla simaanisha kitandani ambapo ni private sana amenipa five, kama ni ku care i do all to make her happy, she sometimes jealous why did i met one before?, jamani sijipaishi bali nasema toka moyoni na jinsi anavyoniambia, am so gentleman to her than anyone did to her before all i do to her is new....amedhubutu kuniauliza kama nimeshawahi kutupa mkono kwa mwanamke yeyote au kama nimeshawahi kukasirika, always am so nice, soo good to her...

  Maana kama ni frown face yangu hajawahi kuiona, neno la ukali kwangu halijawahi kutoka mdomoni mbele yake though wafanyakazi wa kampuni yetu wanamwambia mie mkali lkn haamini...I respect her more than anything in this world and she knows this....
   
 11. Magulumangu

  Magulumangu JF-Expert Member

  #11
  Dec 4, 2010
  Joined: Jan 7, 2010
  Messages: 3,040
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Mkuu ndo hapo naomba ushauri kama kuna mwanaJF yamemtokea haya anipe ushauri.....Sisemi kama raisi wetu kuwa sijui kwa nini alia no...najua analia eti mie nitakutana tu tena na yule ex....
   
 12. Magulumangu

  Magulumangu JF-Expert Member

  #12
  Dec 4, 2010
  Joined: Jan 7, 2010
  Messages: 3,040
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  kaka sina mawasiliano na huyo ex na wala sihitaji mawasiliano nae lkn mke angu mashaka ake ni kuwa ameniambia nimtembelea kazini kwake maana sio mbali sana, pili huyo Ex ni mzuri kwa kweli lkn mke wangu mzuri zaidi maana ndo niliemchagua yeye mpaka kifo kitapotutenganisha....Najua wanawake ni ma delecate sana so have to work on it....
   
 13. Magulumangu

  Magulumangu JF-Expert Member

  #13
  Dec 4, 2010
  Joined: Jan 7, 2010
  Messages: 3,040
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Alll my free times is reserved for her ndugu yangu, she knows what she means to me, hata kazini nikitoka tu she always comes to pick me up maana she finishes most the same time na mimi, even if she is out earlier than me she will come and wait for me in my office....Am faithfull ndugu yangu kwa hilo najisifia....
   
 14. Magulumangu

  Magulumangu JF-Expert Member

  #14
  Dec 4, 2010
  Joined: Jan 7, 2010
  Messages: 3,040
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Kweli nimeamini bila jealousy LOVE hamna, hapa nimepokea simu tu alikuwa jikoni kakimbia kuuliza ni nani ama kweli UKING'ATWA na nyoka ukisikia kochokocho kichakani lazima uruke, I don't have an power to make her believe me only power I have is The strongest Power in this planet....LOVE is what I mean...I will stand on this power to convice her, I will strongly use this power to convince her, i will risk on explaining all these because i know LOVE is the RISK......
   
 15. Fab

  Fab JF-Expert Member

  #15
  Dec 4, 2010
  Joined: Apr 16, 2010
  Messages: 763
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  hata ningekuwa mie ni huyo mkeo,ningekaa hivyo hivyo kimachale machale...LOL
  labda wakati unasalimiana na EX wako,alionyesha bado intrest.bado anataka kuwa na wewe au akipata nafasi atakuwa na wewe..hii imemfanya mkeo kuingiwa na hofu...
  tumia muda wako mwingi kuwa na mkeo,usifanye jambo lolote suspicious...wala usionyeshe unajua lolote kuhusu EX wako,msifie kwa mambo anayoyafanya eg uvaaji maanake inaelekea mkeo hajiamini na appearance...msifie apate assurance!
  gradually ataanza kukutrust tena..
  m
   
 16. Magulumangu

  Magulumangu JF-Expert Member

  #16
  Dec 4, 2010
  Joined: Jan 7, 2010
  Messages: 3,040
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Fab Thanks ndugu yangu, sifa zote nimempa mke wangu jamani, uvaaji kila siku nampa sifa, upikaji ndo usiseme jamani, how she walks all I complement, she even say i know to make wife feel good...kama haendi kazini nisipomuamsha always naacha memo so to read when she wakes up, is LOVE letter memo ofcuz...na anatamanigi kila siku asiende kazini alale ili akute sweet words under pilow....She believes am her first to leave love memo with sweet words when am out...no one did to her before na aliniulizaga kama nilikuwa namfanyia hivyo Ex wangu nikamkubalia alikasirikaga sana.....Sitaki nimuone mke wangu akiwaza sana jamani...asanteni kwa ushauri wenu JF...
   
 17. cheusimangala

  cheusimangala JF-Expert Member

  #17
  Dec 4, 2010
  Joined: Feb 27, 2010
  Messages: 2,590
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  sasa analia nini wkt huna baya umetenda?
  wewe endelea kuwa faithfuly hakuna kitachoharibika!
   
 18. Elli

  Elli JF-Expert Member

  #18
  Dec 4, 2010
  Joined: Mar 17, 2008
  Messages: 26,822
  Likes Received: 10,119
  Trophy Points: 280
  Ina maana mpwa ulikula tunda kabla ya ndoa au sijaelewa, ulivokuta sio mtamu ukamkimbia...
   
 19. Magulumangu

  Magulumangu JF-Expert Member

  #19
  Dec 4, 2010
  Joined: Jan 7, 2010
  Messages: 3,040
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Cheusi Mangala mnajua nyie wanawake jamani, Namhurumia mie maana sijafanya kitu chochote kibaya na kizuri zaidi ex aliponikaribisha nikamwambia if my wi will agree will come to you with her....UThank you kwa ushauri wenu JF pamoja daima
   
 20. Kaizer

  Kaizer JF-Expert Member

  #20
  Dec 4, 2010
  Joined: Sep 16, 2008
  Messages: 24,646
  Likes Received: 1,472
  Trophy Points: 280
  Mi naona huyo mke kinachomsumbua zaidi ni WIVU, tena naona unakuwa GUBU sasa ambayo sio nzuri kabisa

  Mkuu mweleze kuwa anavyo behave hata wewe inakukwaza sasa, ajiamini kwamba upo naye tu huna mwengine!
   
Loading...