Face to face hug VS a hug from behind

Nikuibie siri?
It feels good to feel the thing bulging while huggin from behind! Kazana kuimarisha ndoa buddy!
Kaunga sa mbona unawaambia bana!
ile kitu raha yake ujifanye hujui kama unaisikia ili .......................dah!im speechless i seee!
 
Last edited by a moderator:
Waaaoh! Actually i had no thought of whether that bulging of the thing is what arouses your feelings!!..I just concentrated on the neck and other shits..Now I will try to emulate these damn hugs and see where they take me to!
see Kaunga ,washashtukia dili ,sa itakuwaje?itabidi tukae kama kamati
 
Last edited by a moderator:
bado mnahugiana tu?
Ndo maana mie huanzia uchambuzi tu, hizi hug za siku 2, duh!
 
Tushajua kinachowatia wazimu..lol!
Mnasingizia shingoni kumbe mambo iko chini!..hahaha

ah Kaunga katia supu nazi sasa!walahi itabidi tutafute pozi lingine,ila pacha usawa wa kusikilizia bendera ikiwa inapandishwa kimsingi lazima heshima iwepo i see shurti kutii mamlaka iliyo juu yako !ahahahhahahhahahha wapi gfsonwin atupe mbinu mpya!
 
Last edited by a moderator:
ah Kaunga katia supu nazi sasa!walahi itabidi tutafute pozi lingine,ila pacha usawa wa kusikilizia bendera ikiwa inapandishwa kimsingi lazima heshima iwepo i see shurti kutii mamlaka iliyo juu yako !ahahahhahahhahahha wapi gfsonwin atupe mbinu mpya!

Pacha wangu umefuzu haya mafundisho na ndio maana darasani kwako sikosi..
Wachache sana wataelewa ulichosema humo kwenye bold..lol!
 
Pacha wangu umefuzu haya mafundisho na ndio maana darasani kwako sikosi..
Wachache sana wataelewa ulichosema humo kwenye bold..lol!

umeona enh!
ule pacha unaitwa utii bila shuruti!wacha kabisa
 
Kaunga sa mbona unawaambia bana!
ile kitu raha yake ujifanye hujui kama unaisikia ili .......................dah!im speechless i seee!

Aisee kweli nimeharibu, ila uzuri hawawezi kuforge so hawawezi muibia mtu.
 
Last edited by a moderator:
Aisee kweli nimeharibu, ila uzuri hawawezi kuforge so hawawezi muibia mtu.

hapo chacha !ile kitu hainaga kopi i see,yani ni originale mwanzo mwisho!baadae sana ndo anabaki ah ila wala sikutaka mimi lakini ndyo hivo tena !ahahhahha AHSANTE SANA MAMANGU KWA KUNIZAA MWANAMKE!
 

Kwanza nakubali hug from behind ni kwa wapenzi wanaopendana, na mi naikubali bcoz just imagine wakati unamhug demu wako kwa nyuma mikono yako itakuwa wp??? Hapo ina maana wakati unahug mikono inachezea usawa wa kifuani kwa demu hapo unasababisha mihemko katika maeneo ya hatari. Ni sawa na kupitisha moto jirani na tanki la petroli, ila ushauri wangu ni kwamba hug from behind must be accompanied with an immediate kuingiza na kutoa kama alivyoimba cheggggeee.....
 
Mi ndo maana nimeamua kukata nywele. Lol.

Waweza lalamika mi nataka hug ya nyuma sipewi...kumbe mtoto wa mwenzio anaogopa kupiga chafya maana raster wiki mbili mwezi na joto la dar, lazima mtu apige chafya.

I have found myself in dilema...kupendeza kwa rasta na ma weaving lakini kuwa na kaharufu fulani kichwani au kukata nywele na ku smell fresh always. Nimeamua kukata nywele...piga wave naosha daily.

Au kuna option mashostito. Maana hubby wangu alikuwa ananipa vijineno kwa mbali...eti nyie wanawake inakuwaje mkioga hamuogi kichwa. Nkaona huyu ana nipa dry kijanja...basi toka niamue kuwa na nywele fupi ...amejitolea kuwa kinyozi. Lol. Afu full kunisifu eti nimependeza.
 

kwanza nywele fupi unakuwa fresh kila siku!wala hujakosea shiosti bora umejikatia!sasa ndo ukute unapigwa hilo lihug na bonge la kiss linashuka usawa wa uti wa mgongo unapoanzia ,uuuuwih!za asubuhi nyumba kubwa,watoto?shem wetu?hope kila kitu mstari !
 
Last edited by a moderator:
Watoto na shemejiyo wote wazima.

Bora umenipa moyo. Ni kweli kuna raha iliyoje kuosha kichwa daily.

Ila kuna siku napenda kuwa different. Basi ni ma wigi yangu...nikivaa utamsikia hubby...sasa umevaa hilo wigi la nini? Kwani huoni kuwa nywele fupi zinakupendeza. Kazi kweli kweli. Ila sasa nimezoea cool cut yangu. Ntakuwa nabadili tu mara kiduku mara push back mradi nacheza na mashine tu. Sasa nifanyeje maana napenda ku look different.

 
hug inategemea na mazigira kweli kuna hug inaweza leta maswali mengi bila majibu ikitumika sehemu isiyo husika
 
sasa bora we umekata nywele so ukivaa wigi ndani kuko vizuri,ushamkuta mdada ana wigi af ndani kuna tatu kichwa!yani mi huwa sielewi wanaingiaje kitandani na hizo tatu kichwa chafuuu,ndo mana wanaume huwa hawapendi wigs kwa kweli!lakini kama kichwa kiko na nywele fupi wala haina shida!mi nilikata nikaanza kuweka dreads,sa hizi zimekua kua,manake wangu alikuwa hata uweke style gani unapotoka saluni hasemi kuwa ni nzuri nikaja kujua tatizo ni dawa yani hapendi harufu ya dawa na masteaming sijui nini!ah wanaume wana mambo nao kha!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…