Face Meat

MaxShimba

JF-Expert Member
Apr 11, 2008
35,772
4,054
face-meat.jpg
 
Aisee kuna hatari ya kukosa soko, binadamu ana thamani yake, wanunuzi wanaweza wasiwe na amani ingawa si nyama ya binadamu.
 
Ni mtu mwenye roho ya kishetani au mchawi ndio anaweza kupata mlo wa namna hiyo na akabaki katika mood ya kawaida vinginevyo.aaaaaaaaaaaaaaaghhhhhhhh.
 
Potezea mudi ya kufungulia kabisa na patia mimi mood
kali ya kufunga siku mbili mfululizo
 
Back
Top Bottom