Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 50,443
- 113,452
Wanabodi,
Kama kawaida yangu, kila nipatapo nafasi, huzurura huku na kule, kwa nafasi yangu ya leo, nikaamua kuzurulia mkoani Arusha, ikatokea tuu kama zali, hoteli niliyofikia, ndio hapo hapo James MBatia alipofikia, na ndio hapo hapo Freeman Mbowe alipofikia, hivyo nimetokea kuzungumza nao wote wawili kila mmoja kwa wakati wake!.
Wa kwanza kuzungumza nae, ni James Mbatia, kwanza nilimweleza kuwa nimetoka kutembelea jimbo lake kule Moshi Vijijini na nimezungumza na wakazi wa eneo la Kirua Vunjo, wenyewe wakilitaja kwa kifupi, KV. Nimemweleza nimeona nini, wamesema nini and what to expect!. Mbatia alisikiliza tuu na yeye akanipa comments zake!.
Ilipokuja zamu ya Mbowe, huyu ndio tulikaa chini kabisa, nikamuuliza ya kwangu, nikatoa maswali yangu, nikajibiwa na tukaendelea na mazungumzo.
Japo mimi ni mwandishi, mazungumzo niliyozungumza na viongozi hawa wawili, yalikuwa ni informal talk, hivyo sio busara krsema hapa niliwauliza nini na walijibu nini na tuliendelea kuzungumzia nini kwa sababu mazungumzo yetu yalikuwa informal, hivyo hata kama mimi ni mwandishi, sio lazima kila ninachokisikia nikiseme.
Kitu kikubwa cha msingi ambacho nimekiobserve kwa wote wawili, wameonyesha ni high hopes for the best, wote wako on their top of the victory spirit, wako very high!.
Kitu kimoja ninaweza kukisema for sure ni kuwa this time is for real hakuna kubahatisha, hii ngoma ni moja kwa moja hadi kule kunako!.
Pia niliwahi kukutana face 2 face na hawa wafuatao;
Face 2 Face With Dr. Wilbroad Slaa.
Face To Face With Mhe. Benard Camilius Membe!
Uso kwa Uso na Mtikila- Akataa Hongo ya Millioni 100!
Nawatakia Furahi Day Njema.
Pasco