FA Cup: Man U vs Everton

Penalti ya Kwanza kwa Man U WAMEKOSA pia

Ya pili Everton WAMEPATA na pia

Ya pili Man U WAMEKOSA!
 
SAF anafungua BIG G nyingine :) Ama kweli mdharau mwiba mguu huota tende!!! Sijui SAF alikuwa anafikiria nini kuwapanga chipukizi katika mechi muhimu kama hii.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom