FA Cup: Man U vs Everton

Sir Alex naona anaanza kukosa raha. Haikutarajiwa iwe ngumu hivi... hehehehe kaaazi kwelikweli
 
Man wanapata kona... Dakika ya 76 lakini haizai matunda. Walau Man sasa wameamka
 
7 minutes to go. Still Man U 0 - Everton 0.

Ikiendelea hivi basi zitaongezwa dakika 30 za nyongeza?
 
dakika ya 84 bado bila kwa bila, mshindi lazima apatikane leo hivyo itakuwa ni extra time and then miguu 12 ya mtu mzima mwenye akili timamu.
 
Dakika ya 4 (Extra time) Bado Man U 0 - Everton 0 lakini game limeanza kuonekana kuwa gumu pande zote. Man wanaweza kupata goli wakati wowote vilevile Everton
 
Extra time imeanza, Everton inaelekea kama wanategea ama wamechoka. Hivyo MANU wanakuwa na possession kwa muda mrefu kidogo ukilinganisha na Everton.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom