FA Community Shield: Chelsea vs Man UTD

Bora wewe unaona ukweli ulivyo, sio Baba Mkubwa anajaribu kutudanganya mchana kweupe kwamba Arsenal is the best team!!
Jana tulishinda 6 kwa 5.....Maoungufu ya Arsenal yapo, hilo hata AW analitambuwa....lakini ubovu wetu haunifany ni conclude we are not better than Chelsea...kwa kweli mwaka huu HAMTUPITI NG'OOO...Kwa mechi mlizocheza pre season, hapana mkuu.....
 
Kwi kwi kwi Baba kakataa kutoa fweza za mboga kwi kwi kwi ....Khe khe khe... .. Stutturidge cach cole drog the bar kwi kwi JT alisahau kubugia unga kwi kwi kwi ehheeee machozi kwi kwi ehhh.

They have to.....Follow the bee....huo wimbo mzuri kweli
 
Lazima Fat Arse wawashangilie Manure, si unajua tena wamefunikwa vibaya ndani ya London na The Mighty Blues....lol....the only option wanayo ni kushangilia team za mashambani kama Manure na Loserpool.

Manure awatundike nyie magoli kilio upeleke Emirates tunakusikiliza. sasa hao vikongwe mwaka huu sijui utafanya nao nini si umeona mwenyewe.

Hata boss wako Acheni kote keshasema tukuamini wewe peasant uliyekimbia shamba?

ancelotti-splash_1099192a.jpg
 
Jana tulishinda 6 kwa 5.....Maoungufu ya Arsenal yapo, hilo hata AW analitambuwa....lakini ubovu wetu haunifany ni conclude we are not better than Chelsea...kwa kweli mwaka huu HAMTUPITI NG'OOO...Kwa mechi mlizocheza pre season, hapana mkuu.....
OK Chief! Lakini sijawahi kusikia team inakuwa bingwa kwa kuangalia matokeo ya preseason. Ingekuwa hivyo Arsenal wangekuwa mabingwa kwa miaka kama mitatu sasa maana wanashinda Emirates cup kila mwaka!!
 
Wacha kulialia wewe.
 
Ni kweli mkuu hizi pre season hazi wezi determine the future 100%...lakini safari hii ni special case, nakuambia mkuu leo hii 08.08.2010 nanenane TZ, Arsenal tutakuwa mbele yenu...yaani kwa mwaka huu, mlivyocheza basi mfahamu kuwa hamshindi ng'ooo
NB: On the other side of the coin>>> Tukisajili mabeki na kipa, mambo pouwa.....otherwise tutanyanyaswa sana hapa JF.....
 
Jana tulishinda 6 kwa 5.....Maoungufu ya Arsenal yapo, hilo hata AW analitambuwa....lakini ubovu wetu haunifany ni conclude we are not better than Chelsea...kwa kweli mwaka huu HAMTUPITI NG'OOO...Kwa mechi mlizocheza pre season, hapana mkuu.....

It's just a preseason Mister, subiri business ianze ndio useme kama Chelsea yuko out of title race mwaka huu au hapana!
 
Wachezaji wanaonekana kama wamechoka sana, kuna umuhimu wa kuwa na mapumziko wakati wa baridi
 
Mkuu ulikuwa umelala nini lol? Hongera mkuu naona umechukua ngao sio.Dogo Hernandez mkali atakutoa msimu huu sio kama yule Owen wako.
 
Ni kweli mkuu hizi pre season hazi wezi determine the future 100%...lakini safari hii ni special case, nakuambia mkuu leo hii 08.08.2010 nanenane TZ, Arsenal tutakuwa mbele yenu...yaani kwa mwaka huu, mlivyocheza basi mfahamu kuwa hamshindi ng'ooo
NB: On the other side of the coin>>> Tukisajili mabeki na kipa, mambo pouwa.....otherwise tutanyanyaswa sana hapa JF.....

OK mkuu, nitaitafuta hii post hapo May mwakani, cha muhimu usikimbie hapa jukwaani maana huwa mnapotea wote na kumwacha Balantanda na Arsene Wenger peke yao! Hata huyu mtuma picha wenu alikimbia msimu ulivyogeuka last season, sijui katokea mshamba ya wapi!
 
Roy Hodgson at Anfield will do business as usual coming Saturday! Tores and coy
 
Mkuu Masanilo naona leo si kwa kasi sana kuziweka hapa post zako, unamuachia mkuu Peasant...either unaumwa au unafanya kazi then unacheki JF, wakati wa mapumziko...or bado tunawaza uchaguzi....
 
OK mkuu, nitaitafuta hii post hapo May mwakani, cha muhimu usikimbie hapa jukwaani maana huwa mnapotea wote na kumwacha Balantanda na Arsene Wenger peke yao! Hata huyu mtuma picha wenu alikimbia msimu ulivyogeuka last season, sijui katokea mshamba ya wapi!

Sawa mkuu wangu. lakini usisahau post yangu ina NB...nayenyewe (NB) itatumika
 
Mkuu Masanilo naona leo si kwa kasi sana kuziweka hapa post zako, unamuachia mkuu Peasant...either unaumwa au unafanya kazi then unacheki JF, wakati wa mapumziko...or bado tunawaza uchaguzi....

Ninafanya mapenzi mkuu nikiwa navuta kasi nakuja piga zogo huku!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom