"F.MyWeather" Vs "Mike Tyson"

"F.MyWeather" Vs "Mike Tyson"

Yes hao vitali na wladimir wayukraine wale jamaaa wameamua kuingia siasa baada ya kukosa wa kupigana nao
 
wale jamaa warusi sio wath ni mijitu
 
Mayweather pimbi sana me kaniboa kusema eti hana asili ya africa kweli nyani haoni kundule
 
Kina Tyson wanaenda hadi 110kg,Heavy Weight lakin Mayweather ni 67Kg.

kweli kabisa mkuu, Maywether ni chamtoto kabisa kwa hawa jamaa amabao ni wababe wa dunia amabao rekodi zao hazivunjwa na virikuu kama pacquiao na maywether .

11188189_976823508996922_867291877852816167_n.jpg
 
Back
Top Bottom