"F.MyWeather" Vs "Mike Tyson"

Mwinjilist mtume nabii

JF-Expert Member
Feb 21, 2015
2,437
1,097
jamani ivi level hii ya akina myweather ndio ile ya mabingwa akina lenox,au tyson?? ivi "mike iron tyson" akisema aombe pambano na manny pacquiao au myweather wanaweza kusubutu?? kwan bingwa wa kumi kwa sasa duniani wa uzito wa juu badala ya akina "evander hollfield","lenox lewis", "mike tyson" ni nani? maana baada ya kustaafu hao ulimwengu wa ngumi nao ulikufa hakukuwa na ushabiki tena... hebu tuelezen wataalam wa masumbwi
 
Akina Tyson walikua ni heavy weight,,, hawa akina pacman na floyd ni uzito wa kati,,, so hawa hawawezi pambanishwa na watu wa uzito wa juu bingwa wa uzito wa juu kwa sasa ni Vladmir Klitschiko
 
Akina Tyson walikua ni heavy weight,,, hawa akina pacman na floyd ni uzito wa kati,,, so hawa hawawezi pambanishwa na watu wa uzito wa juu bingwa wa uzito wa juu kwa sasa ni Vladmir Klitschiko

Ok uzito wa juu saiv n kina nan
 
Hawa kina paciao na mayweather hawamfikii francis Cheka au mtumla Mkubwa bahati yao kina Cheka bongo hakuna promotion kama huko mabara ulaya na amerika.
 
Mayweather is the WBC,[3] WBA and Ring[4] welterweight champion, and the WBC Super, WBA, and Ring[5] junior middle weight champion. He is also rated as the best pound-for-pound boxer in the world by many sporting news and boxing websites, including Ring, Sports Illustrated, ESPN, BoxRec, Fox Sports, and Yahoo! Sports.
 
Akina Tyson walikua ni heavy weight,,, hawa akina pacman na floyd ni uzito wa kati,,, so hawa hawawezi pambanishwa na watu wa uzito wa juu bingwa wa uzito wa juu kwa sasa ni Vladmir Klitschiko

WBA, IBF, WBO, IBO and The Ring heavyweight titles ni Wladimir Klitschko (67: 64 - 3 53 KO).PIA WBC world heavyweight champion ni Deontay Wilder (33: 33-0 32 KO)
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom