GE2025 Ezra Chiwelesa: Kuandamana ni kuwanyima wengine Haki ya Kikatiba

GE2025 Ezra Chiwelesa: Kuandamana ni kuwanyima wengine Haki ya Kikatiba

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

PAYE

JF-Expert Member
Joined
Jun 19, 2025
Posts
354
Reaction score
395
Mgombea Ubunge wa Biharamulo Mhandisi Ezra Chiwelesa amesema kuandamana siku ya kupiga kura ni kosa kisheria maana huko ni kuzuia uchaguzi na pia jambo hilo litafanya kuwanyima wengine haki ya Msingi ya Kupiga Kura.

 
Haki ya kupiga kura ni ndogo kuliko haki ya kuishi(kutopotea).
 
kifungu cha kusema ni kosa kisheria bila kuambatanisha kifungu icho ni upumbavu tunajadili hapa katiba maandamano ni Ruksa
 
Back
Top Bottom