Ezi za Lucky Dube

Lakini ngoma zake zilikua zikipigwa walikua wanaskanka kama kawaida๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…
Kwenye lile tamasha lao kubwa la Reggae walimrudisha Kwa mara ya pili jukwaani maana alitoa performance ya hatari.
 
Huyu ni balaa lisilo na mfano, 'remember me' ni ngoma yangu ya muda wote kutoka kwake.

Apumzike kwenye pepo.
Powerful storytelling voice ๐Ÿ’ฅ.

CANT BLAME YOU pia๐Ÿ”ฅ

Ukisikiliza sana wimbo Fulani unauona mKali ukisikiliza mwingine pia mKali,
 
Kwenye song UP WITH HOPE alipinga madawa ya kulevya

Ila kwenye wimbo wa Liquor slave unaweza Dhani alikuwa Mr Bwax kweli.
 
Kwenye lile tamasha lao kubwa la Reggae walimrudisha Kwa mara ya pili jukwaani maana alitoa performance ya hatari.
Huyo mtu alikua anajua anachokifanya ๐Ÿ˜…๐Ÿ˜….
 
Kwenye song UP WITH HOPE alipinga madawa ya kulevya

Ila kwenye wimbo wa Liquor slave unaweza Dhani alikuwa Mr Bwax kweli.
Alivaa uhusika na kuonesha namna pombe iliyozidi kiwango cha kawaida inavyoweza kuwa na madhara kwa familia na jamii kwa ujumla
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ