Ezekiel Wenje awasha moto Bungeni

Ezekiel Wenje awasha moto Bungeni

Jaxx

Senior Member
Joined
Mar 22, 2011
Posts
129
Reaction score
28
Wenje akichangia bungeni leo amesema afadhali alale Selo(Polisi) kuliko kukaa kimya huku nchi ikiliwa na wakubwa, Na kasema haoni kwanini traffic police akomaliwe kwa Tshs 20,000 wakati wakubwa wanakula mabilion,Ameonekana akirudia rudia sana kuapa kuwa HAKI YA MAMA.Mwisho kwapongeza Wabunge wote wa Upinzania waliolala Selo kuwa ni kitendo cha Ujasili maana '' FREEDOM IS COMING TOMORROW''
 
Naunga mkono, maana umbombozi waja kwa wachache kuteseka, kuuwawa na dhuruma dhidi yao
 
Naunga mkono hoja 100/100

FREEEEEEEEEEEEEEEEEEdommmmmmmmmmmmmmmm is comming tomorrowwwwwwwwwwww

Peoples POWERRRRRRRRRRRRRRRRRRRRRRRRRRRRRRRRRRRRRRRRRRRRR
 
Mbunge wa jimbo la nyamagana Mh.Wenje(CHADEMA) amewasha moto bungeni na kusema kuwa yupo tayari kwa lolote,wenje alitoa maneno hayo kipindi akichangia hotuba iliyosomwa jana na waziri wa wizara ya mambo ya ndani.Katika mchango wake anasema nchi kama Rwanda ukichaguliwa kuwa waziri au naibu waziri,unakosa amani,kwasababu unakuwa karibu na jela(gereza)anasema kagame anamchezo hata kidogo,Leo hii hapa kwetu unachaguliwa kuwa naibu waziri unafanya sherehe kubwa sana,kwasababu unajua unaenda kufanya madili,kama kagoda,richmond,radar na mengine mengi tu.
Nawakilisha.
 
dah sa kama kawasha moto si waite fire brigade? Au gari hazina maji!!!????
 
Naunga mkono hoja 100/100

FREEEEEEEEEEEEEEEEEEdommmmmmmmmmmmmmmm is comming tomorrowwwwwwwwwwww

Peoples POWERRRRRRRRRRRRRRRRRRRRRRRRRRRRRRRRRRRRRRRRRRRRR
Mwanasheria mkuu amewabeza CDM
 
Kwa mtaji huu nadhan hakuna wa kumsimamisha 2015. co kama lile ***** la magamba ambalo kila cku lilikua linaonekana club likitumia gari za serikali
 
Kwa mtaji huu nadhan hakuna wa kumsimamisha 2015. co kama lile ***** la magamba ambalo kila cku lilikua linaonekana club likitumia gari za serikali
Kataje angalau tukajue mdau maana umefumba sana!!
 
Naunga mkono hoja 100/100

FREEEEEEEEEEEEEEEEEEdommmmmmmmmmmmmmmm is comming tomorrowwwwwwwwwwww

Peoples POWERRRRRRRRRRRRRRRRRRRRRRRRRRRRRRRRRRRRRRRRRRRRR

hapo kwenye red 100/100=1

pia naunga mkono hoja kwa 100%, tena ikiwezekana kabla vikao vya bunge hili havijaisha tuingie barabarani.
 
Wenje akichangia bungeni leo amesema afadhali alale Selo(Polisi) kuliko kukaa kimya huku nchi ikiliwa na wakubwa, Na kasema haoni kwanini traffic police akomaliwe kwa Tshs 20,000 wakati wakubwa wanakula mabilion,Ameonekana akirudia rudia sana kuapa kuwa HAKI YA MAMA.Mwisho kwapongeza Wabunge wote wa Upinzania waliolala Selo kuwa ni kitendo cha Ujasili maana '' FREEDOM IS COMING TOMORROW''
Hongera Mheshimiwa Wenje kwa kuwaeleleza ukweli. Wakubwa wanakula madeal halafu wanawang'ang'ania polisi eti wamezidi kulwa Rushwa.
 
Mwema kama yupo bungeni ni lazma alitoa tabasamu kwa chati.
 
Back
Top Bottom