magode
JF-Expert Member
- Oct 2, 2014
- 2,204
- 3,337
Gari lililokuwa likiendeshwa na aliyekuwa Mbunge wa Nyamagana, Ezekiel Wenje limepata ajali maeneo ya Magereza Bariadi mkoani Simiyu mchana wa leo baada ya kuacha njia na kugonga mtaro na kisha kuanguka.
Ndani ya gari hilo alikuwepo pia Mbunge wa Viti Maalumu (Chadema), Gimbi Masaba na Mwandishi wa habari wa Tanzania Daima, Sitta Tuma. Wote wamepata majeraha.