Is there anyone in Kikwete's government who is genuine?this guy is fake is not genuine!
leo nimekuwa kaka??habari ndiyo hiyo,najua ezekiel maige upo hapa,naomba ukanushe niweke kila kitu peupe!!
sio fake bali ni kuwa hana confidence kabisa
na hana exposure ya kimataifa
alipaswa kuwa naibu tu
Apart from that...nyumba yake kule kijijini kwao ilipigwa mawe na wananchi wenye hasira...Issue ni kwamba wakati anapiga kmpeni aliwahaidi wanakijiji wa kijiji chao kuwa atahakikisha kuwa ummeme unaokwenda kijiji cha jirani lazima upite kwenye kijiji chao (bahati mbaya vijiji hivyo nimevisahau majina).cha ajabu wakati umeme uanpelekwa kwenye kijiji hicho haukupita katika njia ya kijiji cha akina Maige amabako amewajemgea wazazi wake nyumba ( wazee wake walitengana kitambo, so alikuwa na nia ya kurejesha tena). wakati wananchi wanajiuliza iweje umeme haukupitishwa kwenye kijiji chao kama mbunge alivyowahaidi wakashitukia genereta linafungwa kwenye nyumba ya mbunge..wananchi walishikwa na hasira wakapopoa mawe nyumba.Sijui kilichotokea ila media hawakuandika sana hii story.
this guy is fake is not genuine!
You are just knowing today? Ezekiel Maige anawaacha Wazungu kuendesha Mbuga Zetu wakati Vijana tour guides wanafukuzwa kazi anakaa kimya? ndani ya nchi yao.... Huyu huyu maige ananyamaza wakati wanyama wetu wanapandishwa ndege pale KIA kwani hajui? huyu maige
Mara kumi akapige picha na binti wa makamba mwamvita kuliko kufanya kazi yake. Maige Nendani mbugani ukaone Tour Guides Wa Kizungu
Correct!
Ni ubovu wa wahusika serikali kudhani kila mtu anaweza akapata mafunzo kazini kwa haraka. Kuna watu wanahitaji muda mrefu na mpaka apate ufahamu nchi inakuwa matatani.
Lakini tukirudi kwa mtoa mada, anaweza kuwa right maana facial expression ya jamaa huyu haionyeshi ni mtu wa ku-pick mambo kiurahisi ingawa naambiwa ni kijana anayehangaika sana kutaka kujua.
is there anyone in kikwete's government who is genuine?
Is there anyone in Kikwete's government who is genuine?
Is there anyone in Kikwete's government who is genuine?
hata unaibu hafai, akawe mhasibu tu.sio fake bali ni kuwa hana confidence kabisana hana exposure ya kimataifaalipaswa kuwa naibu tu