The Prophet
JF-Expert Member
- Mar 17, 2011
- 682
- 94
Hapo kwenye blue: hivi na hao watakao mchagua kuwa rais watakuwa na akili kweli...?... wala hajawahi kusimama na kuwaomba radhi watanzania, na sasa anataka kugombea urais. hajatenda yaliyo halali na haki.
kumbe hata ya kwako!nilidhani yangu imechakachuliwa,hata hivyo ni Ezekia 18:21.alikosea kidogothe prophet nakuomba uangalie upya bibila yako, maana yakwangu inanionesha kua kitabu cha Ezekiel sura ya 8, kinaishia mstari wa 18, sasa wewe huo wa 21 sijui umeutoa wapi, ama unataka kuudanganya umma wa jf, ama ni a mistake umefanya kwa bahati mbaya ama ni kitu gani,,, rekebisha tafadhali.
The prophet nakuomba uangalie upya bibila yako, maana ya kwangu inanionesha kua kitabu cha Ezekiel sura ya 8, kinaishia mstari wa 18, sasa wewe huo wa 21 sijui umeutoa wapi, ama unataka kuudanganya umma wa jf, ama ni a mistake umefanya kwa bahati mbaya ama ni kitu gani,,, rekebisha tafadhali.

Umenishtukia! Ok mkuu, naona mkuu alikosea. Nimebadilisha. Ni Ezekiel 18:21Max Melo nakuona upo humu, tafadhali kama anachokisema mdau hapa ni kweli, chukua hatua kabla thread haijasomwa na wengi zaidi..
Mmh kweli bana, hata mi sijaona huo mstari wa 21, mkuu ebu chek fresh afu tujadili
...lakini mtu mbaya akighairi na kuacha dhambi zake zote alizozitenda, na kushika amri zangu zote na kutenda yaliyo halali na haki, hakika ataishi, hatakufa.
Kwa unabii huu, na kwa imani ya milele niliyonayo kwa maandiko matakatifu katika Biblia Taskatifu ya Mungu, naonya na kutamka mambo mawili:
1. Kinachoendelea kwa babu loliondo ni usanii. dawa siyo kikombe cha babu. dawa ni kutenda yaliyohalali na haki. utaishi. hutakufa.
2. Lowassa anajiwinda kwa gharama yoyote kutaka kugombea urais upande wa CCM, lakini dhambi alizotenda tunazifahamu na yeye anazijua, ndiyo maana alijiuzulu kwa sababu ya dhambi hizohizo, na wala hajawahi kusimama na kuwaomba radhi watanzania, na sasa anataka kugombea urais. Hajatenda yaliyo halali na haki. Huyu Lowassa hataishi milele, atakufa.
The prophet nakuomba uangalie upya bibila yako, maana ya kwangu inanionesha kua kitabu cha Ezekiel sura ya 8, kinaishia mstari wa 18, sasa wewe huo wa 21 sijui umeutoa wapi, ama unataka kuudanganya umma wa jf, ama ni a mistake umefanya kwa bahati mbaya ama ni kitu gani,,, rekebisha tafadhali.
Hapo kwenye blue: hivi na hao watakao mchagua kuwa rais watakuwa na akili kweli...?
Uponyaji wa babu unahusiana vipi na Lowassa? Acha kuchanganya mambo.....
...lakini mtu mbaya akighairi na kuacha dhambi zake zote alizozitenda, na kushika amri zangu zote na kutenda yaliyo halali na haki, hakika ataishi, hatakufa.
Kwa unabii huu, na kwa imani ya milele niliyonayo kwa maandiko matakatifu katika Biblia Taskatifu ya Mungu, naonya na kutamka mambo mawili:
1. Kinachoendelea kwa babu loliondo ni usanii. dawa siyo kikombe cha babu. dawa ni kutenda yaliyohalali na haki. utaishi. hutakufa.
2. Lowassa anajiwinda kwa gharama yoyote kutaka kugombea urais upande wa CCM, lakini dhambi alizotenda tunazifahamu na yeye anazijua, ndiyo maana alijiuzulu kwa sababu ya dhambi hizohizo, na wala hajawahi kusimama na kuwaomba radhi watanzania, na sasa anataka kugombea urais. Hajatenda yaliyo halali na haki. Huyu Lowassa hataishi milele, atakufa.
The Profhet...
Shalom, mkuu natumaini u mwema na Mungu anazidi kukuhifadhi na damu ya thamani..nimesoma hapo juu ila nikupe tu angalizo si vyema kuwa na kisasi na mtu fulan kwa kumuunganisha mtu fulan..nimependa ulivyoweka hilo neno lakn ninachoona kwenye maandishi yako tofauti kabisa.
Kumbuka babu hana uhusiano na Lowassa...na Lowassa ameenda kule si kama waziri mkuu mstaafu bali mtanzania kama wewe na mimi kwenda kupokea uponyaji.. Ndugu The Prophet kumbuka kinachofanyika kwa babu ni imani na si utapeli unachosema...nikukumbushe kwa maneno yako kama tapeli basi YESU angekuwa tapeli maarufu.
...lakini kwa Kuwa NENO LA MUNGU NI KWELI SAWA NA YOH 17:17 BASI SINA BUDI KUKWAMBIA ALICHOFANYA YESU AKINA TOFAUTI NA KINACHOENDELEA LOLIONDO...YAWEZEKANA...BADO HUJAPATA KIKOMBE LAKINI NAKWAMBIA KABLA UJAMWONA MUNGU LAZIMA KIKOMBE KIPITE KINYWAN MWAKO...HUU NI USHUHUDA NA ITACHUKUA WAZUNGU KUTOKA NJE KUJA KUMWAMINI HUYU BABU NA KUPATA UPONYAJI HALI WATANZANIA MKIKAA NA KUTOAMINI NA KUISHIA KUFA VIFO VYENYE UPONYAJI...
SI MBAYA KULETA MAWAZO YAKO KWA LOWASSA LKN SI VYEMA KUMJUMUISHA HUYU BABU NA MAWAZO YAKO...
SOMA
ZABU 51:....YOOTE
Habari hii i a aana kubwa sana mwaka 2015. - CHAGUO LA MUNGU.
Ikiwa mganga wa maradhi sugu ametoka jimbo la mbunge X....
Basi hata umasikini wetu ambao ni gonjwa sugu litawezekana kutoka kwa mbunge wa Loliondo....
watu hawatendi haki. yakiwafika ya kuwafika badala wamkimbilie Mungu wanatafuta masangoma. and now it's getting even worse...politicilization is taking place. watu wanafisadi, wanatumia fedha walizofisadi kufadhili safari za wapigakura kwenda kwa babu. where is maarifa?