Hahahaha ,duh umemshtukia?Hongera... Lady mishil.
Sema khantwe zuri zaidi.

Hahahaha, aseeIla bado umri unaruhusu...kama una 31 kwasasa baki na hili hadi 33 kisha utatafuta la uzeeni.
Au bwana mpya jina mpya?

Naona kubadili majina ndiyo siri kwasasa....jina lako linatamkwaje?
Hongera... Lady mishil.
Sema khantwe zuri zaidi.
Ila bado umri unaruhusu...kama una 31 kwasasa baki na hili hadi 33 kisha utatafuta la uzeeni.
Au bwana mpya jina mpya?
Sina fujo zilishaisha siku nyingi.
Nilikuwa namtafuta khantwe nilimmiss..kumbe kashabadilishwa.
Teh eti ulinimiss na ulinikimbia majuzi kwenye ule uzi kisa umetajiwa heka
Sent using Jamii Forums mobile app
Uzi upi tena?
Nilitajiwa heka na nani?...sikumbuki nimezeeka mama huoni hata utamu umeniisha.
Oouh hela...sasa mbona unaandika heka?..au ndiyo neno hela linakufanya hadi utetemeke
Haha..nimekumbuka.
Nimeelewa na nimekumbuka ni wapi...ulale sasa kumekuwa usiku.
Hahahaha, nimependa haya maongeziNawe pia... ukumbatie huo mtoa vizuri. Tehteh

Hivi mnajua mnaudhi sana? Wanawake waliwakosea nini? Yaani mnachukia mama zenu kiasi hiki? Haya bwana. Mimi naona paka dume linamla panya linaacha cheese na pilipili.
Huyo uliye .mquote ni mdadaHivi mnajua mnaudhi sana? Wanawake waliwakosea nini? Yaani mnachukia mama zenu kiasi hiki? Haya bwana. Mimi naona paka dume linamla panya linaacha cheese na pilipili.

Hivi mnajua mnaudhi sana? Wanawake waliwakosea nini? Yaani mnachukia mama zenu kiasi hiki? Haya bwana. Mimi naona paka dume linamla panya linaacha cheese na pilipili.




Nisamehe Mimi madam.Hivi mnajua mnaudhi sana? Wanawake waliwakosea nini? Yaani mnachukia mama zenu kiasi hiki? Haya bwana. Mimi naona paka dume linamla panya linaacha cheese na pilipili.
Naliona bunyero bunyero hapo kwa dp
Mbona mmeamka na Mimi embu mniache.Ina maana huwaoni hao walioifanya itnekane sura ya mwanamke ?
Mbona unaniangusha mrembo ?
Umesamehewa usirudie tena
Mbona mmeamka na Mimi embu mniache.
Haya sura ya mwanamke..paka na panya
Sent using Jamii Forums mobile app
Wanajifanya kukimbia wakati miandiko haijifichi.Hahahaha ,duh umemshtukia?
MTC | 101|![]()
Hahahaha, halafu wako wengi wa style hy, na wakija na Wewe id mpya wanakua wakali balaa ,huwa mnawafanya nn kwani?Wanajifanya kukimbia wakati miandiko haijifichi.

Marhaba hujambo, kuna sehemu juzi nimeona MTU km wewe maeneo fulani

Rafiki namtafuta @Khantwe, unajua alipo?