EINSTEIN112
JF-Expert Member
- Oct 26, 2018
- 21,709
- 35,712
- Thread starter
- #21
Yeah Na ile avatar ya kwanza acha ile ya mdada bonge
[emoji1322][emoji1322][emoji1322][emoji1322]
Sent using Jamii Forums mobile app
Yeah Na ile avatar ya kwanza acha ile ya mdada bonge
Teh eti ulinimiss na ulinikimbia majuzi kwenye ule uzi kisa umetajiwa hekaSina fujo zilishaisha siku nyingi.
Nilikuwa namtafuta khantwe nilimmiss..kumbe kashabadilishwa.
Mimi na wewe tulishaufunga huu mjadala wa avatar ila mbona bado unaendelea kunitafuta maneno?Yeah Na ile avatar ya kwanza acha ile ya mdada bonge
[emoji1322][emoji1322][emoji1322][emoji1322]
Sent using Jamii Forums mobile app
Uzi upi tena?Teh eti ulinimiss na ulinikimbia majuzi kwenye ule uzi kisa umetajiwa heka
Sent using Jamii Forums mobile app
Nilitajiwa heka na nani?...sikumbuki nimezeeka mama huoni hata utamu umeniisha.
Ulitajiwa na mimi. Utamu wako tunaujua watumiaji usitusemeeNilitajiwa heka na nani?...sikumbuki nimezeeka mama huoni hata utamu umeniisha.
Oouh hela...sasa mbona unaandika heka?..au ndiyo neno hela linakufanya hadi utetemeke
[emoji16][emoji16][emoji16] kumbe nimechapia loh, lakini umeelewaOouh hela...sasa mbona unaandika heka?..au ndiyo neno hela linakufanya hadi utetemeke
Haha..nimekumbuka.
Nimeelewa na nimekumbuka ni wapi...ulale sasa kumekuwa usiku.[emoji16][emoji16][emoji16] kumbe nimechapia loh, lakini umeelewa
Sent using Jamii Forums mobile app
Haya usiku mwemaNimeelewa na nimekumbuka ni wapi...ulale sasa kumekuwa usiku.
Nawe pia... ukumbatie huo mtoa vizuri. Tehteh
hahahaha nmemuona bhana mrembo[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28] weka simu kwa mbaali kuna kitu utaona usizoom
Sent using Jamii Forums mobile app
Mambo VP yna
Mimi na wewe tulishaufunga huu mjadala wa avatar ila mbona bado unaendelea kunitafuta maneno?
Sent using Jamii Forums mobile app