EINSTEIN112
JF-Expert Member
- Oct 26, 2018
- 21,709
- 35,701
Kula mchicha na samaki...kuna sura ya mrembo matata.
Kula mchicha na samaki...kuna sura ya mrembo matata.
Naona kubadili majina ndiyo siri kwasasa....jina lako linatamkwaje?
Hivyo hivyo kama lilivyoandikwaNaona kubadili majina ndiyo siri kwasasa....jina lako linatamkwaje?
Hongera... Lady mishil.
Kweli eeh? Ngoja bado naendelea kukusanya maoniHongera... Lady mishil.
Sema khantwe zuri zaidi.
Ila bado umri unaruhusu...kama una 31 kwasasa baki na hili hadi 33 kisha utatafuta la uzeeni.
Ila bado umri unaruhusu...kama una 31 kwasasa baki na hili hadi 33 kisha utatafuta la uzeeni.
Au bwana mpya jina mpya?

acha fujo, hili ndio la uzee sasaSina fujo zilishaisha siku nyingi.