ExtraTorrent has shut down permanently

mainabaina

Member
Dec 28, 2013
6
12
ExtraTorrent with all mirrors goes offline.. We permanently erase all data.
Stay away from fake ExtraTorrent websites and clones.

Thx to all ET supporters and torrent community.
ET was a place to be....

May 17, 2017
 
Daah wazee wakuserereka sjui mtaenda wapi mana walianza na yule kibonge kim dot com na megaupload,wakailamba piratebay,kickass,sjui saiz tuende wapi.
 
actually. wameifungua ET tena but inarun background. rudi kwenye site yao utaona sehemu ya client. unaandika email yako. wanakutumia password ya kulog in ET, then unateremsha torrent kama kawa


http://extratorrents.ch/
 
DA BALAA HII GOMA LA BIG BUTT BITCH VOL 2 NDO NILIKUA NATAKA NISHUSHE
 

KqhDYhx.png
 
suluhisho.

shusha program inaitwa TERARIUM tv
kisha shusha app inaitwa DOWNLOAD ACCELERATOR MANAGER
install ktk simu yako baada ya hapo unashusha vitu kiulainiiiiiiiiii
 
Back
Top Bottom