CHE GUEVARA-II
JF-Expert Member
- Jun 17, 2010
- 571
- 156
Habari zenu wadau?
Natafuta External Hard drive zenye size ya 1TB.
Nimewasiliana na Megji ...... wanasema zimeisha hadi wiki ijayo.
Ni nani anaweza kuniuzia au nitapata wapi kesho trh 16 Jan, 2014 kwa bei nzuri?