Cool Gentleman
JF-Expert Member
- Jun 10, 2012
- 330
- 235
Wakuu wa Kitengo hiki salaam sana.
Nina External HDD ya TRANSCEND ya 500 MB ambayo niliwekea password kwa usalama wa data zangu.
Sasa for some reason computer niliyokuwa natumia ambayo ilikuwa na Windows 7 ikawa formatted na hivyo nikashindwa kui-access external HDD.
Mbaya zaidi sikumbuki ni software gani niliyotumia kufanya protection japo password naikumbuka. Sasa hivi natumia Mac.
Kuna Muungwana yeyote anyeweza akanijulisha ni namna gani naweza nika-accessr my HDD driver na kuweza kuitumia tena? Kuna documents na reports muhimu sana na siwezi kuformat HDD.
Tafadhali naomba msaada wenu.