kamikaze
JF-Expert Member
- Jan 25, 2011
- 422
- 610
Natumaini mu wazima ndugu wana jf, nina tatizo ambalo linaniweka katika wakati mgumu sana,.
Nilikuwa natumia external hard disk yangu nimeiunganisha kwenye laptop, baada ya muda ikawa kama imestack nikafunga file nililokuwa nalitumia then nikafungua tena but ikagoma kufunguka na ikatoa msg hii kwenye toolbar, Window delayed write failed
Window was enable to save all the data.The data has been lost This error may caused by failure of your computer hardware or network connection.Please try to save the file elsewhere.
Naombeni mnisaidie jinsi ya kurecover files zangu kwa sababu folder naziona lakini hazifunguki, na hii pop up msg inatokea mara kwa mara.Kitu kingine ni kwamba japokuwa data zinaonekana zimefutika lakini ukubwa wa hizo data kwenye hdd unaonekana huko vilevile yaani kama bado zipo.
Aksanteni