hahahah...langu limekaa kijeshi jeshi...nikikuta nalo lazima uogope!!!
hahahah...langu limekaa kijeshi jeshi...nikikuta nalo lazima uogope!!!
sasa ndio nini kunitamanisha lakini na masaptosapto ya kitanga wangu?!?!
Hicho kiinglish nimeshindwa kukielewa...dikshenari yangu haina hilo neno...eksiplanesheni plizi...
Lol, kumbe na wewe dada yangu unaonaga aibu?Maneno nitakayoongea naona aibu kusema hapa.....
madikodiko.......kwenye sahani!!!
u need to upgrade your dikshenary buddy!
Sasa ulinikonfyuzi mwenzio nikashindwa kuunganisha dots...hayo madikodiko huliwa mara chache tu hapo Serena
Lol, kumbe na wewe dada yangu unaonaga aibu?
Mie sikujua, maana kupiti komentsi zako tu, nilikuwa nakuogopa mwaya!-Nna aibu sana.....
Anapendeka sanaaaaa, acha hizo bana
It wont happen coz i will never go and if it will happens as i can never predict the future, i will just say, ''he wasn't man enough for me''.