exporting-fruits & vegetables

exporting-fruits & vegetables

mama dunia

JF-Expert Member
Joined
Dec 22, 2011
Posts
420
Reaction score
84
Hi Wanajamvi, nauliza kama kuna mwanajamvi yoyote au kama unajua mtu au kampuni mwenye/yenye experience na kuexport nje ya nchi matunda fresh na mboga za majani, process zake, soko nk. Kenya naona wapo juu sana kwenye hili

Asante
 
Yes mama dunia! wenzetu Kenya na Uganda wapo juu sana na hii ni kwa vile wanayo mifumo inayowawezesha kufanya hayo wayafanyao!

Kitu kikubwa hapo ni capita kwani masoko yapo mengi sana ya hizo bidhaa!

Ushindani mkubwa kwa hivi sasa kwenye hizo bidhaa kwenye masoko ya nje ni kuwa wanataka bidhaa ambazo ni organic na ambazo zipo certfied! kwetu hapa bado tupo nyuma sana kwenye kuwa na wakulima wa bidhaa hizo ambao wapo certified!

Njia za kcertify bidhaa zipo complex kidogo na zinachukua muda na pesa kabla ya kuingiza kipato.

Habari nzuri ni kuwa hivi sasa hapa Tanzania tunacho chombo kinachojiusisha na kazi hiyo ambacho kinajulikana kimataifa kinaitwa TanCert waweza kugoogle uone wanavyofanya kazi zao!

Pia kuna wakimataifa zaidi kama Wajerumani wanaitwa Naturland ambao hawa wakikucertfify masoko ya Ujeruma huwezi kuyamaliza! watembelee www.naturlande. de na wana mwakilishi hapa tanzania!

Pia waweza kuwatembelea watu wa TOAM ( Tanzania Organic Agriculture Movement) wanaweza kukulink na wazalishaji wa bidhaa hizo ambao wapo Organic na certified!

Hopeful nimesaidia kidogo.
 
Yaani nimepata pa kuanzia, asante ngoja ni google na niwacontact kwa ushauri zaidi, thanks sana! Nimepata taarifa uarabuni wanahitaji sana hizi bidhaa lakini sie hapa TZ naona kama tupo nyuma saana kama unavyosema, thanks
 
Kaaribu ukipata kikwazo ninaweza kukupa ontact zao kwa pm
 
Yaani nimepata pa kuanzia, asante ngoja ni google na niwacontact kwa ushauri zaidi, thanks sana! Nimepata taarifa uarabuni wanahitaji sana hizi bidhaa lakini sie hapa TZ naona kama tupo nyuma saana kama unavyosema, thanks

Mama Dunia, Imekua kama coincidence aisee maana hata mm nimekua nikitafuta hizi details za kuexport matunda kutoka tanzania kuja nchi za kiarabu bila mafanikio.Ninaishi Uarabuni(Bahrain), na huku kama ujuavyo hawana ardhi ya kusema watalima so kila kitu kinatoka nje.Kwa inshu ya matunda mengi yanatoka kenya na South Africa.Nilianza na kutembelea supplier portal za big suppermarkest kama hii ya Carrefour [http://supplier.carrefour.in:8080/webportal/supplierPortal.do] ili kujua masharti yao.Maana inatakiwa uwe registered as their official supplier na kuna documents zinatakiwa kama vile Business license, Sales Tax/VAT registration certificates, PAN card etc

Then unatakiwa uwe familiar na local Import Regulations & Standards esp for organic foods and things like packaging etc.Hii ni website for different countries for your reference [http://agriexchange.apeda.gov.in/IR_Standards/Import_Regulation.aspx]

But nilichokiona ni kigumu zaidi ni nyumbani tanzania kupata all required paper works ikiwa ni pamoja na ubora wa hayo matunda.
Niliwahi kutembelea baadhi ya sites za exporters wa kenya wanaonekana wamejipanga vizuri, wana mashamba makubwa na wana vyeti vya ubora kutoka institutions tofauti tofauti (nyingi zenye uhusiano na mambo ya afya)which make make to be qualified.

I'm sure pia hata tanzania mashamba makubwa yapo na wapo exporters ambao wameshafanya na wanafanya hii kitu b efore so ni atleast kuwapata ili watoe mwangaza wa how things should be done maana there is a huge market in Arab/Gulf States.

kwa upande wangu, I'm trying to find an kenyan or southafrican who has been doing this esp here in Bahrain to learn more then i'll share with you more info. In the meantime na wewe kazana kupata more details from different sources.

ukihitaji mawasiliano yangu unaweza ukani-email through gegk61@gmail.com

Regards.
 
kwa upande wangu, I'm trying to find an kenyan or southafrican who has been doing this esp here in Bahrain to learn more then i'll share with you more info. In the meantime na wewena kupata more details from different sources.

ukihitaji mawasiliano yangu unaweza ukani-email through gegk61@gmail.com

Regards.

Kweli umetupa mwanga zaidi na hizi information, safi sana!, hizo site naona zinagoma...nimeshaanza process za hao jamaa nitawajulisha maendeleo eg unatakiwa ufanye nini etc, ila kwa upande wa mangoes niliuliza last time wakaniambia kwa TZ bado hawajaanza kusafirisha nje ila ndo wapo kwenye mchakato ila walisema hata TZ tu penyewe biashara inalipa etc-hii ni kwa mujibu wa tanzania mango growers association wenyewe. ngoja nipate data za ndani then nitawaupdate zaidi..na kama unavyosema tungepata mtz anayefanya shughuli hii kwasasa ingekuwa pia rahisi zaidi.
 
Hi Wanajamvi, nauliza kama kuna mwanajamvi yoyote au kama unajua mtu au kampuni mwenye/yenye experience na kuexport nje ya nchi matunda fresh na mboga za majani, process zake, soko nk. Kenya naona wapo juu sana kwenye hili

Asante

Pale Njombe kuna jamaa wana mashamba ya parachichi na wanauza Nairobi.Ngoja nipate mawili matatu toka kwao.
 
Yes mama dunia! wenzetu Kenya na Uganda wapo juu sana na hii ni kwa vile wanayo mifumo inayowawezesha kufanya hayo wayafanyao!

Kitu kikubwa hapo ni capita kwani masoko yapo mengi sana ya hizo bidhaa!

Ushindani mkubwa kwa hivi sasa kwenye hizo bidhaa kwenye masoko ya nje ni kuwa wanataka bidhaa ambazo ni organic na ambazo zipo certfied! kwetu hapa bado tupo nyuma sana kwenye kuwa na wakulima wa bidhaa hizo ambao wapo certified!

Njia za kcertify bidhaa zipo complex kidogo na zinachukua muda na pesa kabla ya kuingiza kipato.

Habari nzuri ni kuwa hivi sasa hapa Tanzania tunacho chombo kinachojiusisha na kazi hiyo ambacho kinajulikana kimataifa kinaitwa TanCert waweza kugoogle uone wanavyofanya kazi zao!

Pia kuna wakimataifa zaidi kama Wajerumani wanaitwa Naturland ambao hawa wakikucertfify masoko ya Ujeruma huwezi kuyamaliza! watembelee www.naturlande. de na wana mwakilishi hapa tanzania!

Pia waweza kuwatembelea watu wa TOAM ( Tanzania Organic Agriculture Movement) wanaweza kukulink na wazalishaji wa bidhaa hizo ambao wapo Organic na certified!

Hopeful nimesaidia kidogo.

Mwenyezi Mungu mwingi wa rehema akushushie kila aina ya baraka na neema umetoa taarifa muhimu sana kwa wajasiriamali
 
Yes mama dunia! wenzetu Kenya na Uganda wapo juu sana na hii ni kwa vile wanayo mifumo inayowawezesha kufanya hayo wayafanyao!

Kitu kikubwa hapo ni capita kwani masoko yapo mengi sana ya hizo bidhaa!

Ushindani mkubwa kwa hivi sasa kwenye hizo bidhaa kwenye masoko ya nje ni kuwa wanataka bidhaa ambazo ni organic na ambazo zipo certfied! kwetu hapa bado tupo nyuma sana kwenye kuwa na wakulima wa bidhaa hizo ambao wapo certified!

Njia za kcertify bidhaa zipo complex kidogo na zinachukua muda na pesa kabla ya kuingiza kipato.

Habari nzuri ni kuwa hivi sasa hapa Tanzania tunacho chombo kinachojiusisha na kazi hiyo ambacho kinajulikana kimataifa kinaitwa TanCert waweza kugoogle uone wanavyofanya kazi zao!

Pia kuna wakimataifa zaidi kama Wajerumani wanaitwa Naturland ambao hawa wakikucertfify masoko ya Ujeruma huwezi kuyamaliza! watembelee www.naturlande. de na wana mwakilishi hapa tanzania!

Pia waweza kuwatembelea watu wa TOAM ( Tanzania Organic Agriculture Movement) wanaweza kukulink na wazalishaji wa bidhaa hizo ambao wapo Organic na certified!

Hopeful nimesaidia kidogo.

Ni kweli kwa Tanzania fursa ni kubwa sana ya kupata hizo mbogamboga na matunda, ninachoshauri watafute hao TOAM wanaweza kukupa maelekezo yote ya kutosha. Ni bahati mbaya sana wengi wamekuwa wanaogopa kuwa export ya organic ni ngumu sana, ndugu zangu hakuna jambo rahisi na suala la viwango halikwepeki hata kama si organic export yoyote inahitaji ufikie viwango kadhaa.
 
km kumbukumbu zng zipo vzr kuna wengine wanaitwa TAHA,niliwaona capital tv!wanajiusisha na usafirishaj wa uelimishaj wa wakulima wadogo mainly Arusha,Moshi na manyara!
 
Mama Dunia, Imekua kama coincidence aisee maana hata mm nimekua nikitafuta hizi details za kuexport matunda kutoka tanzania kuja nchi za kiarabu bila mafanikio.Ninaishi Uarabuni(Bahrain), na huku kama ujuavyo hawana ardhi ya kusema watalima so kila kitu kinatoka nje.Kwa inshu ya matunda mengi yanatoka kenya na South Africa.Nilianza na kutembelea supplier portal za big suppermarkest kama hii ya Carrefour [http://supplier.carrefour.in:8080/webportal/supplierPortal.do] ili kujua masharti yao.Maana inatakiwa uwe registered as their official supplier na kuna documents zinatakiwa kama vile Business license, Sales Tax/VAT registration certificates, PAN card etc

Then unatakiwa uwe familiar na local Import Regulations & Standards esp for organic foods and things like packaging etc.Hii ni website for different countries for your reference [http://agriexchange.apeda.gov.in/IR_Standards/Import_Regulation.aspx]

But nilichokiona ni kigumu zaidi ni nyumbani tanzania kupata all required paper works ikiwa ni pamoja na ubora wa hayo matunda.
Niliwahi kutembelea baadhi ya sites za exporters wa kenya wanaonekana wamejipanga vizuri, wana mashamba makubwa na wana vyeti vya ubora kutoka institutions tofauti tofauti (nyingi zenye uhusiano na mambo ya afya)which make make to be qualified.

I'm sure pia hata tanzania mashamba makubwa yapo na wapo exporters ambao wameshafanya na wanafanya hii kitu b efore so ni atleast kuwapata ili watoe mwangaza wa how things should be done maana there is a huge market in Arab/Gulf States.

kwa upande wangu, I'm trying to find an kenyan or southafrican who has been doing this esp here in Bahrain to learn more then i'll share with you more info. In the meantime na wewe kazana kupata more details from different sources.

ukihitaji mawasiliano yangu unaweza ukani-email through gegk61@gmail.com

Regards.

Katika biashara hii,ni lazima uwe na mashamba yako?Au waweza nunua kwa wakulima?
 
Sio lazima! Hapa tunaongelea vitu viwili, kwanza ni mazao ya organic na yale ambayo sio organic! kwa biashara ya matunda na mbogamboga kwa export inabidi yawe organic ili uweze kupata soko kwa urahisi na bei ya juu kidogo.

Ili kufanya hivyo inabidi ununue kwa wakulima wanaotambuliwa kuwa wanalima organically! au waweza kuwa na mashamba yako ila ukayaandikisha kuwa unalima organically.

Kama ukipata soko na huitaji kuuza kama organic basi waweza kununua popote na ukauza kwa export wala hakuna kikwazo ni procedure tu!

Asante.
 
Yes mama dunia! wenzetu Kenya na Uganda wapo juu sana na hii ni kwa vile wanayo mifumo inayowawezesha kufanya hayo wayafanyao!

Kitu kikubwa hapo ni capita kwani masoko yapo mengi sana ya hizo bidhaa!

Ushindani mkubwa kwa hivi sasa kwenye hizo bidhaa kwenye masoko ya nje ni kuwa wanataka bidhaa ambazo ni organic na ambazo zipo certfied! kwetu hapa bado tupo nyuma sana kwenye kuwa na wakulima wa bidhaa hizo ambao wapo certified!

Njia za kcertify bidhaa zipo complex kidogo na zinachukua muda na pesa kabla ya kuingiza kipato.

Habari nzuri ni kuwa hivi sasa hapa Tanzania tunacho chombo kinachojiusisha na kazi hiyo ambacho kinajulikana kimataifa kinaitwa TanCert waweza kugoogle uone wanavyofanya kazi zao!

Pia kuna wakimataifa zaidi kama Wajerumani wanaitwa Naturland ambao hawa wakikucertfify masoko ya Ujeruma huwezi kuyamaliza! watembelee www.naturlande. de na wana mwakilishi hapa tanzania!

Pia waweza kuwatembelea watu wa TOAM ( Tanzania Organic Agriculture Movement) wanaweza kukulink na wazalishaji wa bidhaa hizo ambao wapo Organic na certified!

Hopeful nimesaidia kidogo.
Asante mkuu umesaidia sana
 
Juzi nilikua Ufaransa, najinunulia kahawa kwenye suprmarket moja moja maarufu LECLEK. Nikakutana na pakti za chai kutoka Kenya! Nilishangaaaaa balaaa. Cc tupo nyuma kama mikia ya nyani kazi ngono na sogo
 
hahahahaha umeniacha hoi heheh...mi ninachojua watanzania tunapenda vitu rahisi i mean njia rahisi, yaani ikija kwenye suala lenye ugumu flan watu hawataki..na pia tunapenda biashara za mda mfupi yaani kupata faida mapema hizo ndo tabia zetu.

Kuna kipindi kuna mwanajf alileta thread ya uwekezaji wa miti ya mbao ambayo inachukua miaka 7 na kuendelea, ilikuwa nzuri kwakweli mie ilinivutia sana, nilipoieleka kwa buinesss partner wangu akashangaa oohh miaka 7 mingi saana si nitakuwa nimeded hahaha yani hiyo ni mifano kichache tu lakini ni asilimia kubwa sana ya WATZ wenye kutopenda kuhangaika kwaajili ya kupata mafanikio watu wanapend asna shortcuts...

Hebu chukulia mfano wa watu wanapotoka kazini jioni-asilimia kubwa huishia wapi before kufika home hahhaha nadhani jibu unalo, TZ ni zaid ya tuijuavyo hahahah
 
Juzi nilikua Ufaransa, najinunulia kahawa kwenye suprmarket moja moja maarufu LECLEK. Nikakutana na pakti za chai kutoka Kenya! Nilishangaaaaa balaaa. Cc tupo nyuma kama mikia ya nyani kazi ngono na sogo

hahahaha ndio starehe yetu maskini sie,hatuna kingine mkuu
 
Back
Top Bottom