mama dunia
JF-Expert Member
- Dec 22, 2011
- 420
- 84
- Thread starter
- #21
Wapendwa wanajamvi, nitakuwa mchoyo wa fadhila nisipotoa mrejesho japo kwa uchache niliyoyapata hadi sasa kuhusiana na kuexport fruits & Veg, bado naendelea na utafiti
Hizi ndo Changamoto za hii biznes
1.Ukianza hii biznez mnawekeana mkataba mfano na duka/supermarket au supplier alieko nje lets say DUBAI-ambapo mara nyingi wanataka in bulky na kwa kila wakati, nitataoa mfano-unaambiwa kila baada ya wiki upeleke contena tatu nk za matembele au any mboga, sasa changamoto iliyopo je utaweza?
Tatizo TZ kila mtu alone, huwa hatujiorganise kufanya kitu...humu jamvin watu kama CHASA wamekuwa wakisisitiza watu kujiunga pamoja lakini mambo ya ki-tz sijui ni wangapi wanaofanya hivo..Kenya watu wana mashamba makubwa sana na ni wengi na pia wanaunganisha nguvu inakuwa rahisi, supply haikatiki.hawamlet down dealer wa nje. (haya yote ni maelezo toka kwa mtaalam)
2. Kuhifdhi hadi kusafirisha-nafikri hapa kila mtu anaelewa, mambo ya umeme nayo pia uangalie pia je unapatikana ama vipi maana bila umeme ni changamoto, pia naambiwa mambo ya ndege/flights je ni reliable?
3.Kodi-naambiwa kodi ni kubwa ya kuuza nje, so inabidi ujipange sawasawa kuweza kumudu kulipa.
4. Mazao kukosa ubora-TZ watu wengi hawafuati masharti ya kilimo kinachotakiwa especially kama unataka kuuza nje, mfano kitu kama EMBE-ambazo tunazo nyingi sana, naskia kupeleka SHOPRITE tu issue, hayana ubora, ingawa sie walaji maembe hata hatujui hahaha tunakula tu bora siku iende.
5.Irrigation pia tatizo kwa mashamba mengi TZ, mambi sio ya Uhakika.
6. Pia Ukiataka kuanza biznes hii unatakiwa kwenda mamlaka husika zinakuuliza nchi unayotaka kupeleka hayo mazao then wanakushauri kuhusiana na nchi hizo yaani zinataka bidhaa yako iwe na kiwango gani./yaani iweje iweje in general.
Ni kwa uchache tu jamani, i hope nimeeleweka