Saint Ivuga
JF-Expert Member
- Aug 21, 2008
- 54,363
- 58,386
there has been explosion in hotel in davos near worlid economic forums..more updates soon
eeh na Kiongozi wetu alikuwepo? jamani mtupe update haraka ili tuanze mchakato wa uchaguzi maana tulishazoea kukosa raisi kwa mda mrefu
Nimesikitika sana, nilitegemea kusikia mkwere amepigwa kitu,ili tumsimike rasimi dkt wa ukweli,,
nimesikitika sana, nilitegemea kusikia mkwere amepigwa kitu,ili tumsimike rasimi dkt wa ukweli,,
sio hekima kusema hivi ndugu
kwa hiyo akifa ndio wezi wataisha? sisi wenyewe tunaweza kuumaliza huu udhalimu sio lazima hadi apatwe na mabaya...kwani Tunisia nkubwa wao si ni mzima?Kusema hivyo sio hekima ,bali hekima ni kuwaibia wananchi mali zao na kuwalipa Dowans sio?
hapa mkwere km vile anapiga mzinga mwingine halafu jamaa kastuka.:twitch:hakuna aliyedhurika huyu hapa na yuko safe kabisa