Expiry date ya wanawake!!!

kama kuna ukweli ndani ya haya maneno,basi balaaa yaani karibia napata expiry date???na wakati sijayala maisha bado vizuri???hii kareeee
 
Boss inaelekea unapenda aged women. If I may ask, in which age group are you? Maana wanaume wengi wanapenda dogo dogo; lakini wewe yaelekea wapenda 40s - 50s (probably 60s).
.

well honestly i like mature woman in general
i am not so much into age...some women can be 50 but still acts like a teenager... i like
older women in the way the handle things.....

wasichana wa kuwaza bongofleva na tamthilia tu wananiboa lol
 
Kusoma ni sehemu ya maisha. Ninachomaanisha ni kuwa ukiangalia mwanaume na mwanamke wa umri sawa, at 28 mwanaume ndo anaanza kuenjoy maisha wakati mwanamke ndo anaanza kupigwa na majukumu ya kaisha...
Sio kweli, 28 anapigwa na majukumu gani mazito hivyo mpaka awe choka mbaya? Huo utafiti wako una walakini, rudi ukaanze upya mazee!
 
kama kuna ukweli ndani ya haya maneno,basi balaaa yaani karibia napata expiry date???na wakati sijayala maisha bado vizuri???hii kareeee
Expiry date ya mtu ni mtu mwenyewe anavyoyachukulia maisha wala usitishwe na huu utafiti! Kama ni hivyo mbona tutaeksipaya wengi?..lol.. Unaeza kutana na mwanamke ana 40yrz na bado wamo, na mwingine 25 choka mbaya kabisa.. Eksipaya inaletwa na mtu mwenyewe sio umri bana!
 
[B said:
Mwendawazimu2;[/B]2570396]On average;
Muda wa kupendeza na kuenjoy maisha 20-28 yrs
Above 28 year, choka mbaya..

Hivi kumbe wendawazimu nao wanaweza kutumia keyboard?
Matokeo yake ndio haya maana wanadonoa bila hata kutumia akili!

Unajua maana ya "expiry date"? -tafuta dictionary
Unelewa maana ya kuenjoy maisha? -
Unajua nini maana ya "choka mbaya"? -
Kama miaka 28 ni choka mbaya... je mama yako ako kwenye kundi gani?

Somo kidogo kwako dogo ni hivi: Uchovu wa muonekana au mwili unatokana na mambo mengi kwa mfano:
Ukosefu wa matunzo na kukosa kupumzika kunakopelekea kufuja mwili.Vitu vinavyochosha mwili navyo viko vingi kama vile kuzaa, kunywa vilevi sana, kukesha kwenye starehe, kutumia vipodozi vikali sana ( mikorogo),manyanyaso kama vipigo viletavyo madhara,
Vile vile gubu, mawazo, msongo wa mawazo.

Sasa wewe huyo mwanamke wako wa miaka 28 ambaye tayari ni choka mbaya ujue hachoki tu bila sababu.
Chunguza utabaini.
 
kuna mabinti wakishazaa wakatulia WANAPENDEZA sana,infact ndo wanarudi kuwa mwaaah.we usimtunze wako ubaki ukisema,akifika 28 choka mbaya wewe mwendawazimu
 
Choka mbaya ktk nyanja zipi? Be specific ili nami niweze kuchangia.
 
At 30, a woman knows what she wants, when she wants it, how she wants it and where she can get it.
 
ukijiamini mwanamke hakuna kitu kinaitwa choka.maybe wewe mwenzangu umeshajichokea,unawarushia wengine vibao
 
Kwa uzoefu gani wa maisha unakuwa nao at 28 hadi uone sasa umefika? at that age unakuwa umepitia mangapi hadi uone imetoshea? at 28 unakuwa kweli umekwisha jua raha ya kuzaa,ukalea ,mtoto akakuita mama/baba akakua,ukafurahia graduation yake,ukafurahia harusi yake,akakuletea kajuukuu ukakakumbatia ukakaangalia sura machozi yakakulenga maana kanakukumbusha mwanao siku ya kwanza mlipotoka maternity,at 28 ushapitia yote haya? At 28 how many joys and sorrows unakuwa umepitia maishani mwako? Au kwenda runway,maisha club,bilicanas na mbalamwezi ndo ku enjoy maisha? Think about it,to be choka mbaya au not choka mbaya is just an attitude of mind na wala sio umri,you can be very choka mbaya at 25 and be at the maximum enjoyment at 80,it is all about attitude!

Bishanga huelewi maana ya "choka mbaya" hujaelewa na maana ya "avarage",kuchoka haimaanishi umepitia mambo mengi kiasi kipi, kibongobongo most of girls katika miaka hiyo huwa ni choka mbaya,time hizo upande wa titiz tayari zishapigwa jeki sana n.k,utatetea sana hoja yako but ukweli ndo huo
 
Bishanga huelewi maana ya "choka mbaya" hujaelewa na maana ya "avarage",kuchoka haimaanishi
mepitia mambo mengi kiasi kipi, kibongobongo most of girls katika miaka hiyo huwa ni choka mbaya,time hizo upande wa titiz tayari zishapigwa jeki sana n.k,utatetea sana hoja yako but ukweli ndo huo

ukweli ndo upi sasa,kwamba maziwa yakianguka mwanamke ndo choka mbaya,are you serious? Vipi kuhusu mwanaume,you think we don't age?
 
Back
Top Bottom