Expire Date!!!!

said jaffary

Member
Aug 31, 2012
8
2
Jamaa alikuwa ameshika document anazisoma akiwa na mkewe kitandani mara akaanza kucheka sana!!!!!!!! mke akaamua kumuuliza mbona una cheka sana nini kimekufurahisha jamaa akamjibu nimefurahishwa kuona expire date ya ndoa yetu ni kesho saa tatu asubuhi.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom