S Slh-slm Member Joined Jun 8, 2011 Posts 5 Reaction score 1 Jun 9, 2011 #1 Jamaa alikaa masaa 4 akitazama cheti chake cha ndoa, mkewe akamuliza mume wng vp leo umekumbuka cku ye2 ya ndoa? Mume akamjibu 'NATAFUTA EXPIRE DATE' siiyoni!
Jamaa alikaa masaa 4 akitazama cheti chake cha ndoa, mkewe akamuliza mume wng vp leo umekumbuka cku ye2 ya ndoa? Mume akamjibu 'NATAFUTA EXPIRE DATE' siiyoni!
Jaguar JF-Expert Member Joined Mar 6, 2011 Posts 3,440 Reaction score 1,029 Jun 9, 2011 #2 Ndoa ndoano,mi naona mungu atubadilishie utaratibu,tuwe kama samaki,jike linaacha mayai somewhere,dume kwa muda wake linapita kurutubisha mayai,hakuna kuoana,tuone nani angeiba mke/mume wa mtu.
Ndoa ndoano,mi naona mungu atubadilishie utaratibu,tuwe kama samaki,jike linaacha mayai somewhere,dume kwa muda wake linapita kurutubisha mayai,hakuna kuoana,tuone nani angeiba mke/mume wa mtu.